Hivi siku hizi Diamond ni mwanamuziki au socialite?

Roho mbaya zitawaua wabongo

Ina maana hujayaona haya Kwa mwaka 2017

1. Mkataba Wa kinywaji cha Belaire

2. Mkataba na Diamond karanga

3. Mkataba na Flying Dubai

Sijazungumzia kazi alizofanya mwaka huu na Tiwa Savage, Morgan Heritage na Rick rose.

Kama kweli huoni kama hayo ni mafanikio makubwa mno kwa mtanzania mwenzako nakuhakikishia utakuwa mchawi uzeeni mwako
Soma upya bandiko langu ndo uje tena naona kama umekurupuka tu
 
Hahahaa mtuu anapo shindwa na maisha yake na kuyafuatilia maisha ya tajiri ambaye anaweza akilisha familia yake yote hadi kufa
 
Nasema kwa sababu moja tu ya msingi ambayo hata mm team mond inataka kunichanganya.

Kwa huu mwaka mond kajitahid sana kutoa ngoma nyingi nahisi baada ya aslay yeye ndo anafata kwa kutoa nyimbo nyingi lakin zote uhai wake umekuwa mdaogo sana na zikizima zinazima kweli.

Cha kushangaza zaidi jamaa amekuwa akitrend sana kwenye mambo ambayo hayahusiani kabisa na mziki mm nayaita mambo ya kipuuzi maana utamuona anajirekod yupo fargha na mpenzi wake anapost ndo utaona watu wanamuongelea karibu week nzima kuhusu izo mambo. Lakini akitoa wimbo watu hata hawashtuki kabisa. Ndo swal langu sasa linapotekea je tuseme kuwa mond now siyo mwanamziki bali socialite maana anapata attention kubwa kwny mishe za mitandaoni kuliko kazi yake.
ndio kiwango kiko ukingoni hivo;
 
25024286_1607279539310856_6545742128624959488_n.jpg
25012352_1982965958696007_6707539190252306432_n.jpg
 
Simply social life yake ina trend kwa sababu watu wanamfuatilia na wanapenda, na ndio celeb hiyo. Kuhusu ngoma, nimeona mwaka huu ameachia ngoma zimetrend nchi sita kwa mpigo, naamini kipindi wewe unaona amefeli, wakina sallam, fella na tale wanagonha cheers kujipongeza, kitu usichokijua diamond anafocus new fanbase na hua anaongea sana kuhusu hilo, hiyo ngoma na rickrose ambayo tunaona kapuyanga ukiangalia statistics zake utajua kwa nini diamond atabaki kua diamond
IMG_1043.jpg
 
View attachment 658241
Mkuu akipingana na ww tena nitag alafu mwambie tuu ile Sikomi ambayo diamond hajaifanyia promo wala kuipost audio yake ilifikisha views million moja kwa wiki moja ambayo si kawaida kwa audio za kibongo na Africa pia video yake ilitrend wiki mbili mfululizo na mpka sasa ina views M4 DIAMOND ATABAKI KUA DIAMOND TUUU
 
Jipeni moyo
 
Simply social life yake ina trend kwa sababu watu wanamfuatilia na wanapenda, na ndio celeb hiyo. Kuhusu ngoma, nimeona mwaka huu ameachia ngoma zimetrend nchi sita kwa mpigo, naamini kipindi wewe unaona amefeli, wakina sallam, fella na tale wanagonha cheers kujipongeza, kitu usichokijua diamond anafocus new fanbase na hua anaongea sana kuhusu hilo, hiyo ngoma na rickrose ambayo tunaona kapuyanga ukiangalia statistics zake utajua kwa nini diamond atabaki kua diamond
View attachment 658241

Gud jamaa.. mtu hajafanya ata tafit anakuja na utumbo hapa ndani.. inamaana view znazoongezeka kila siku youtube haon na hana muda nazo?

Mond katoa sikomi kwa kibongo bongo na ndo inakimbiza nw YouTube na mtaan.. hiyo waka ndo inatoboa huko kwa wenzetu.. we Kama maisha yake binafsi yanakukera achana nayo yatakupotezea muda wako
 
Nasema kwa sababu moja tu ya msingi ambayo hata mm team mond inataka kunichanganya.

Kwa huu mwaka mond kajitahid sana kutoa ngoma nyingi nahisi baada ya aslay yeye ndo anafata kwa kutoa nyimbo nyingi lakin zote uhai wake umekuwa mdaogo sana na zikizima zinazima kweli.

Cha kushangaza zaidi jamaa amekuwa akitrend sana kwenye mambo ambayo hayahusiani kabisa na mziki mm nayaita mambo ya kipuuzi maana utamuona anajirekod yupo fargha na mpenzi wake anapost ndo utaona watu wanamuongelea karibu week nzima kuhusu izo mambo. Lakini akitoa wimbo watu hata hawashtuki kabisa. Ndo swal langu sasa linapotekea je tuseme kuwa mond now siyo mwanamziki bali socialite maana anapata attention kubwa kwny mishe za mitandaoni kuliko kazi yake.
Enzi za Jakaya kulkua na zaidi ya muziki wasanii na waigizaji walkua wanaingza pesa kwa plan B ila muziki na show zikiwa cover na iliwasaidia kushika media house sasa nchi ipo kwenye mstari hizo mbinu za kijanja janja zmezbwa kila mahali adi Airport...JIONGEZE
 
Kwa haraka haraka ukiangalia Mond na babaako nani anaingiza pesa ndefu? [emoji383][emoji383]
 
Tatizo wamewekeza kwenye Youtube za kutengeneza zaidi ya fans...kuanzia Mond..Ali Kiba na wengneo badala ya vipaji atlst Aslay kipaji chake kikubwa ad kumkosoa mtu nafsi inakusuta ndie msanii mkubwa Bongo sema Musician Mugl hawajamkubali cz naamini atak kunyonywa kmaslahi
 
Back
Top Bottom