Hivi siku hizi nguo za polisi wanavalia wapi na kuzivua wapi.Maana wakirudi majumbani wananguo za kiraia

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Tokea kutumwa kufanya yale October 29 naona wengi au ni mimi tu nilipo.

Zamani walikuwa wanajitapa wakija na jezi zao mpaka wanapoishi.

Ila sasa uwezi kuona kavaa anatembea mtaani kwenda kituo chake cha kazi.
 
Nyakati zimewafanya wabadilike lakini maeneo mengi bado wanavaa sare zao changamoto labda maeneo yale yaliyokumbwa na ghasiq za October 29
 
Back
Top Bottom