Hivi siku unagundua hili utafanyaje?

Hama kakae mbali na wazazi wako; ukubwa wote huo bado unaishi nao tu?
 
Yan lazima nimwambie mdingi au km vipi huyo mshikaji ntamtoa ngeu! Mali ya Baba ni ya baba tu!
 
Nakumbuka kuna jamaa ilimshinda akamua kufanya fumanizi la maza na jamaa, ila ilimletea shida sana maana aliwakuta katikati ya mchezo

mi namchinja msela, siwezi kuukubali huo udhalilishwaji!
 
Mfano kuna topic hapa inazungumzia kuhusu suala la mze mwenye nyumba kumbaka hg. Sasa huoni kama haya mambo yanatokea na ni lazima tuyajadili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…