Hivi Simba amewahi kumfunga Yanga mara nne mfululizo?

Hivi Simba amewahi kumfunga Yanga mara nne mfululizo?

Goli moja tu tayari umeanza kuulizia historia ya Derbies zilizopita kati ya Yanga na Simba! Yote kwa yote Kayoko alichezesha mechi ya jana--Simba Vs Yanga "kibabe" sana, wachezaji wachache walianza kuruka ma-summersault 😂😂😂
 
Tafuta historia. Kati ya 2000-2004 Simba ambayo ilimaliza Ligi ikiwa unbeaten chini Patrick Phiri ndio ilimfunga Yanga mechi 5 mtawalia.
Wewe ndio ukatafute historia hata timu yako hauijui Patrick Phiri kafundisha Simba 2003 - 2005 .... Akaondoka akarudi 2008-2011.... Huo mwaka 2000,2001,2002 labda alikuwa anafudisha Simba ya Mwandolya.....
 
Jana nimeamini X hatongozwii,amesumbua weee Mwisho wa siku akaichomekaa mwenyewe...waaaaaa imo🤣🤣
Daa!😢 Haya matusi haya yamezidi sasa. Upo wakati kibao kitakuja kugeuka. Malipo ni hapa hapa! Kuteseka kwa zamu! Zamu yenu ya kulia itafika siku moja.
 
Vyura vinakuaga excited sana huko dimbwini vikimfunga basha wao Simba,🤣🤣🤣
 
Tuendelee kupekua historia
db5e1aef4aef48e69d8f5c15152e65c0_1729449941941.jpg
 
Back
Top Bottom