Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo kwa ushahidiTuendelee kupekua historiaView attachment 3131046
Unasubiri NYOTA ianguke !!!!Daa!😢 Haya matusi haya yamezidi sasa. Upo wakati kibao kitakuja kugeuka. Malipo ni hapa hapa! Kuteseka kwa zamu! Zamu yenu ya kulia itafika siku moja.
Si kweli, ni mara 3 mfululizo ya 4 wakapigwa 1 bila nyingine wakatoka 2-2
2000 idd moshi akitoka fungate aliifunga simba na yanga kushindaTafuta historia. Kati ya 2000-2004 Simba ambayo ilimaliza Ligi ikiwa unbeaten chini Patrick Phiri ndio ilimfunga Yanga mechi 5 mtawalia.
Kulikua na sare nyingi tu na si yanga kufungwa tu mfululizoNafikiri hapo utakuwa umeona kwa uzuri kabisa.
Tangu 2004-2007 Yanga hakupata ushindi mbele Simba.
2008 mwalala aliifunga simba yanga ikishinda moja bila2001~2008 miaka 7 yanga alishindwa kumfunga simba.
Hapo yanga walivunja mwiko kwa kushindwa kumfunga simba zaidi ya miaka 7 kwenye ligi kuu ushind kwa yanga ilikua ni droo tu iyo mechi iliisha 1-0 yanga kashnda goli ben mwalala alifunga assist yq boniface ambani2008 mwalala aliifunga simba yanga ikishinda moja bila
2000 na 2008 yanga alimfunga simba,so toa hiyo miakaHapo yanga walivunja mwiko kwa kushindwa kumfunga simba zaidi ya miaka 7 kwenye ligi kuu ushind kwa yanga ilikua ni droo tu iyo mechi iliisha 1-0 yanga kashnda goli ben mwalala alifunga assist yq boniface ambani
Palikua na kadi nyekundu simba 2 aruna moshi bobani na meshak abeli
yanga ben mwalala kwa kuzichapa na meshak abeli
hii mechi musa mgosi kuna dakka alipiga chenga mabeki wa kati wa yanga ambao walikua ni chacha marwa kam sikosei na canavaro kisha kipa akabaki yeye na goli kupiga mpira ukapaa juu ya lango aliwai ulizwa mwwnyew anasem mpaka leo aelewi kilimkuta nni iyo mechi kaseja alikua yanga yupo benchi alisajiliwa msimu huo yanga na kipa wa simba alikua amani simba kikos cha simba nakumbka kiliikua hivi👇
1 aman simba
2 salum kanoni
3 juma jabu jj
4 meshak abeli
5 kelvin yondani
6 henry joseph shindika
7 ulimboka mwakingwe uli
8 mohamed banka simba
9 musa hassan mgosi
10 emanuel gabriel alikua anamaliza zama alifanyiwa sub mapema tu
11 haruna mosh shaban mawela (bobani)
Yanga sikumbuki vzuri
1 obren curkovic mzungu uy
2 nsajigwa fuso
3 Amir mafta au nurdin bakri uyu nurdin alitok simba akaenda yanga
4 chach marwa sina hakka
5 canavaro
6 George daniel owino
7 ngasa
8 godfrey bonn ndanje rest in peace alikua kiungo fund sana
9 bon ambani
10 ben mwalala
11 sikumbuki
Kuna uyo george owino alikua simba akasajiliwa yanga msimu huo mkenya uyu
alafu kuna joseph owino gera uyu mganda alikua simba beki moja matata mno
Kisha msimu uliofata ambao ni 2009/10 simba alimaliza ligi (unbeaten) bila kufungwa zaid ya sare 2 ya kagera sugar na africn lyon
Hii sare ya african lyon iliisha 1_1 simba alisawazisha mgosi na mbwana samata aliifungia lyon na ndio simba walimwonea hapa na ikabaki historia
kaseja alirud msimu huo simba mech za watani yanga alifungwa zote 2 mzunguko wa kwanza 1-0 mgosi assist danny mrwanda hii mechi mrwanda akumaliza alipata red card kipnd cha kwanza na simba walicheza pungufu ila walishinda yani muda mrwanda anapata redcard tayar simba alikua ana ongoza moja
Mzunguko wa pili simba 4_3 yanga
Wafungaji simba mgosi 2 uhuru seleman 1 na ilary echesa gol dakk 90 aasist okwi uyu uyu mnae mjua echesa fundi mno alikua uyu mkenya kiungo.
Yanga teget 2 chuji 1 tegete alikua na bahat sana na simba kwa wahenga nafikiri wanakkumbka vzuri uyu kijana wa miaka iyo.
Watoto wa juzi watakuja pinga awa elewi chochote
UongoSimba aliwahi kumfunga yanga mara Tano,kocha akiwa Patrick Phili
Weka ukweliUongo
hakuna ,na Hawa Simba kwa sasa ni Tawi la YangaTupeni takwimu nani amewahi kufungwa na mtaani wake mara mfululizo , au Yanga Jana kavunja rekodi.
Soma Pia:
Kama tumetoka kufungwa 5 , tukaja 1 na sasa ushindi wenu umetokana na kubebwa na refa na simba kujifunga wenyewe , basi ujue mechi zinazofuata utopolo anachezea kichapo.Nakuhakikishia sasa hivi Simba kucheza na yanga wachezaji watakua wanaingia uwanjani KISHINGO UPANDE,maana mara 4 mfululizo unachapika tu tena hadi nyumbani kwako kisaikolojia hii hali sio nzuri