Hivi Simba amewahi kumfunga Yanga mara nne mfululizo?

Sasa hivi watani zetu wanatamba ile mbaya! Hii Simba ya sasa inanisononesha linapokuja suala la kufungwa na Yanga mfululizo hivi.
 
Goli moja tu tayari umeanza kuulizia historia ya Derbies zilizopita kati ya Yanga na Simba! Yote kwa yote Kayoko alichezesha mechi ya jana--Simba Vs Yanga "kibabe" sana, wachezaji wachache walianza kuruka ma-summersault 😂😂😂
 
Tafuta historia. Kati ya 2000-2004 Simba ambayo ilimaliza Ligi ikiwa unbeaten chini Patrick Phiri ndio ilimfunga Yanga mechi 5 mtawalia.
Wewe ndio ukatafute historia hata timu yako hauijui Patrick Phiri kafundisha Simba 2003 - 2005 .... Akaondoka akarudi 2008-2011.... Huo mwaka 2000,2001,2002 labda alikuwa anafudisha Simba ya Mwandolya.....
 
Jana nimeamini X hatongozwii,amesumbua weee Mwisho wa siku akaichomekaa mwenyewe...waaaaaa imo🤣🤣
Daa!😢 Haya matusi haya yamezidi sasa. Upo wakati kibao kitakuja kugeuka. Malipo ni hapa hapa! Kuteseka kwa zamu! Zamu yenu ya kulia itafika siku moja.
 
Vyura vinakuaga excited sana huko dimbwini vikimfunga basha wao Simba,🤣🤣🤣
 
Yanga ndiyo timu pekee ya mpira wa miguu hapa Tanzania, narudia
 
Yanga ndiyo timu pekee ya mpira wa miguu hapa Tanzania, narudia
Nakuhakikishia sasa hivi Simba kucheza na yanga wachezaji watakua wanaingia uwanjani KISHINGO UPANDE,maana mara 4 mfululizo unachapika tu tena hadi nyumbani kwako kisaikolojia hii hali sio nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…