2008 mwalala aliifunga simba yanga ikishinda moja bila
Hapo yanga walivunja mwiko kwa kushindwa kumfunga simba zaidi ya miaka 7 kwenye ligi kuu ushind kwa yanga ilikua ni droo tu iyo mechi iliisha 1-0 yanga kashnda goli ben mwalala alifunga assist yq boniface ambani
Palikua na kadi nyekundu simba 2 aruna moshi bobani na meshak abeli
yanga ben mwalala kwa kuzichapa na meshak abeli
hii mechi musa mgosi kuna dakka alipiga chenga mabeki wa kati wa yanga ambao walikua ni chacha marwa kam sikosei na canavaro kisha kipa akabaki yeye na goli kupiga mpira ukapaa juu ya lango aliwai ulizwa mwwnyew anasem mpaka leo aelewi kilimkuta nni iyo mechi kaseja alikua yanga yupo benchi alisajiliwa msimu huo yanga na kipa wa simba alikua amani simba kikos cha simba nakumbka kiliikua hivi👇
1 aman simba
2 salum kanoni
3 juma jabu jj
4 meshak abeli
5 kelvin yondani
6 henry joseph shindika
7 ulimboka mwakingwe uli
8 mohamed banka simba
9 musa hassan mgosi
10 emanuel gabriel alikua anamaliza zama alifanyiwa sub mapema tu
11 haruna mosh shaban mawela (bobani)
Yanga sikumbuki vzuri
1 obren curkovic mzungu uy
2 nsajigwa fuso
3 Amir mafta au nurdin bakri uyu nurdin alitok simba akaenda yanga
4 chach marwa sina hakka
5 canavaro
6 George daniel owino
7 ngasa
8 godfrey bonn ndanje rest in peace alikua kiungo fund sana
9 bon ambani
10 ben mwalala
11 sikumbuki
Kuna uyo george owino alikua simba akasajiliwa yanga msimu huo mkenya uyu
alafu kuna joseph owino gera uyu mganda alikua simba beki moja matata mno
Kisha msimu uliofata ambao ni 2009/10 simba alimaliza ligi (unbeaten) bila kufungwa zaid ya sare 2 ya kagera sugar na africn lyon
Hii sare ya african lyon iliisha 1_1 simba alisawazisha mgosi na mbwana samata aliifungia lyon na ndio simba walimwonea hapa na ikabaki historia
kaseja alirud msimu huo simba mech za watani yanga alifungwa zote 2 mzunguko wa kwanza 1-0 mgosi assist danny mrwanda hii mechi mrwanda akumaliza alipata red card kipnd cha kwanza na simba walicheza pungufu ila walishinda yani muda mrwanda anapata redcard tayar simba alikua ana ongoza moja
Mzunguko wa pili simba 4_3 yanga
Wafungaji simba mgosi 2 uhuru seleman 1 na ilary echesa gol dakk 90 aasist okwi uyu uyu mnae mjua echesa fundi mno alikua uyu mkenya kiungo.
Yanga teget 2 chuji 1 tegete alikua na bahat sana na simba kwa wahenga nafikiri wanakkumbka vzuri uyu kijana wa miaka iyo.
Watoto wa juzi watakuja pinga awa elewi chochote