Hivi Simba huwa ni uwezo wenu au kuna la ziada?

Hivi Simba huwa ni uwezo wenu au kuna la ziada?

Makonyeza

Member
Joined
Feb 2, 2020
Posts
72
Reaction score
261
Hivi huwa ni uwezo wenu au Kuna la ziada??

Nimewaangalia mechi yenu ya juzi,
mkapata goli dakika ya 93, yaani mlishinda kama ajali tu, au kwa bahati mbaya, hamkucheza Mpira wowote wa maana zaidi ya bora liende.

Leo Mchezo wenu huu na wana usalama wetu, inanidhihirishia hii ndio tamati ya uwezo wenu, wala sitanii!

Mmecheza Mpira Mbovu, hamkufungwa kwa sababu wanausalama wenyewe hawakuwa makini golini kwenu.

Hii inanizidishia mashaka niliyonayo juu ya matokeo yenu na timu za nje na hasa mkiwa uwanja wa nyumbani.

Wachezaji ni hao hao, makocha ni hao hao, viongozi na mashabiki ni hao hao.

Kwani Kuna lipi la ziada wenzetu huwa mnafanya nje ya misingi ya Soka kinachowafanya wageni kila siku kuchoka kipindi cha pili?

Unajua mimi nilidhani hizi mechi za nyumbani ndo zingethibitisha uwezo wenu unaosemwa kimataifa, lakini dah, najionea mangolibo tu.

Najua badala ya kutafakari na kujitathmini mtalipuka kujibu kwa ghadhabu, lakini hapana, nina haki ya kueleza mashaka yangu, Kuna kitu hakiko sawa, kuna kitu kinaendelea na ninaamini wakati utaongea punde!

Msije kunijibu kwa mifano ya Timu zingine kubwa, Timu kubwa zinafungwa na zinatoka sare ndio soka, lakini wanakuonesha Ukubwa wao bhana!
Arsenal Jana kafungwa lakini unaona namna wanavyopambana, unauona Ukubwa wao na mwisho wa siku unasema kweli kuna bahati mbaya kwenye soka.

Anyways, acha tusubiri tuone, yetu macho
 
Najua badala ya kutafakari na kujitathmini mtalipuka kujibu kwa ghadhabu, lakini hapana...

GSM
 
Hivi huwa ni uwezo wenu au Kuna la ziada??

Nimewaangalia mechi yenu ya juzi,
mkapata goli dakika ya 93, yaani mlishinda kama ajali tu, au kwa bahati mbaya, hamkucheza Mpira wowote wa maana zaidi ya bora liende.

Leo Mchezo wenu huu na wana usalama wetu, inanidhihirishia hii ndio tamati ya uwezo wenu, wala sitanii!

Mmecheza Mpira Mbovu, hamkufungwa kwa sababu wanausalama wenyewe hawakuwa makini golini kwenu.

Hii inanizidishia mashaka niliyonayo juu ya matokeo yenu na timu za nje na hasa mkiwa uwanja wa nyumbani.

Wachezaji ni hao hao, makocha ni hao hao, viongozi na mashabiki ni hao hao.

Kwani Kuna lipi la ziada wenzetu huwa mnafanya nje ya misingi ya Soka kinachowafanya wageni kila siku kuchoka kipindi cha pili?

Unajua mimi nilidhani hizi mechi za nyumbani ndo zingethibitisha uwezo wenu unaosemwa kimataifa, lakini dah, najionea mangolibo tu.

Najua badala ya kutafakari na kujitathmini mtalipuka kujibu kwa ghadhabu, lakini hapana, nina haki ya kueleza mashaka yangu, Kuna kitu hakiko sawa, kuna kitu kinaendelea na ninaamini wakati utaongea punde!

Msije kunijibu kwa mifano ya Timu zingine kubwa, Timu kubwa zinafungwa na zinatoka sare ndio soka, lakini wanakuonesha Ukubwa wao bhana!
Arsenal Jana kafungwa lakini unaona namna wanavyopambana, unauona Ukubwa wao na mwisho wa siku unasema kweli kuna bahati mbaya kwenye soka.

Anyways, acha tusubiri tuone, yetu macho[emoji85]
Banda ameshasema.......Simba mechi za nyumbani wananunua waamuzi
 
Kwani wewe unamashaka na uwezo wa Yanga uwanjani kwa sasa?? [emoji23] [emoji23]
 
Nakukumbusha tu Orlando pirates yuko nafasi ya 5 kwenye msimamo wa league ya kwao nadhani umenielewa fuatilia team zinazo shiriki CAF champion's league angalia matokeo yao ya league halafu fuatilia CAF champion's league wanapata matokeo gani itoshe tu kusema league na CAF,

Ni tofauti unaona hata Ulaya real Madrid hata iwe mbovu vipi lakini UEFA inafanya vizuri hiyo tunasema experience matters than talent kawadanganye utopolo wenzio huko sisi tunawasubiri kimataifa ila simba kashakunja 1.4B kwenye CAF kwako utopolo na karia.
 
Nakukumbusha tu Orlando pirates yuko nafasi ya 5 kwenye msimamo wa league ya kwao nadhani umenielewa fuatilia team zinazo shiriki CAF champion's league angalia matokeo yao ya league halafu fuatilia CAF champion's league wanapata matokeo gani itoshe tu kusema league na...
Madridi ipi ilikuwa mbovu halafu ikachukua UEFA?

Kuhusu Orlando pirates kushika nafasi ya tano inatokana na ugumu wa ligi yao.

Kinacholeta maswali kwa Simba sio kutofanya vizuri kwenye ligi ya ndani, bali ni kwanini uwanja wa Mkapa pekee?

Simba akienda away kwenye kimataifa yaani wanakuwa kama ruvu shooting vile wanafungwa magoli 2+
 
Madridi ipi ilikuwa mbovu halafu ikachukua UEFA? Kuhusu Orlando pirates kushika nafasi ya tano inatokana na ugumu wa ligi yao...
Yaani ukiwa yanga kweli akili zinaruka kiufupi kwenye CAF champion's league au UEFA kule kwa wazungu kila mtu anatumia uwanja wake wa nyumbani ndio kawaida ya mashindano hayo liverpool alikufa 3 pale kwa Barcelona ila Anfield alikufa 4 mtungi psg alipigwa 6 na Barcelona,

Wakati watu wanaamini game ilishaisha na juzi hapa Madrid kampiga PSG bernabeu hyo ni mifano tu kwa wazungu tukija africa hapa niletee takwimu za team iliyoshinda ugenini mechi zake zote au mechi mbili kwenye CAF champion's league halafu kuhusu Madrid sikusema ilikuwa mbovu ila wakati Madrid anachukua UEFA Barcelona ndo alikuwa bingwa wa league tena mara 7 mfululizo huku Madrid anachukua UEFA,

mara tatu mfululizo bila kuwa bingwa wa league point yangu ni kwamba league na mashindano ya kimataifa zinakuwa na aproach tofauti ila kabla hatujaendelea niletee team zilizo shinda ugenini mechi zote au angalau mechi mbili kwenye CAF champion's league ya africa nakusubira mkuu ili twende sawa.
 
Sasa ni wakati wa timu zingine kuonyesha uwezo kimataifa bila makando kando afanyayo Simba.

Timu zingine zisijifiche kwenye kichaka cha kujiona Bora kwenye ligi ambayo hata viwanja vyake tu ni Kama majaruba.

Tukubaliane kwa pamoja sasa yanga na timu zingine zimeonekana kuwa Bora mbele ya Simba kwa maelezo yako, hivyo Kuna haja ya kuonyesha ubora huo nje ya Tanzania.

Tofaut na hapo huo utakua wivu na uchawi uliotukuka.

Msimu huu mmecheza club bingwa mlipaswa sasa muwafundishe hao Simba namna ya kushinda bila makando kando.

Niungane na wewe kuwa Simba inafanya figisu hata kule kongo kipindi anampiga as Vita alifanya ujanja ujanja maana Simba alikuwa mwenyeji.

Wivu fitna na roho ya kwnann ndivyo humfanya mtu asiwe na maendeleo yasiyoku.

Haya Leo yanga kaponea kwenye tundu la sindano dhidi ya geita gold tena hapo hapo kwa mkapa sijui hili unalizungumziaje
 
Madridi ipi ilikuwa mbovu halafu ikachukua UEFA? Kuhusu Orlando pirates kushika nafasi ya tano inatokana na ugumu wa ligi yao. Kinacholeta maswali kwa Simba sio kutofanya vizuri kwenye ligi ya ndani, bali ni kwanini uwanja wa Mkapa pekee? Simba akienda away kwenye kimataifa yaani wanakuwa kama ruvu shooting vile wanafungwa magoli 2+
Unataka kuniambia misimu minne mfululizo aliyobeba ubingwa Simba mechi zote alicheza kwa mkapa? Napata mashaka Kama unaujua mpira vizuri na kwa undani .

Kwanza elewa nini maana ya ligi ,pia elewa neno ki mashindano ,pia elewa nini maana ya mpira .

Ni ligi gan dunian ambapo timu moja tu ndio inakua bingwa miaka nenda Rudi? Je ikiwa hivyo je kutakua na Radha ya hiyo ligi?

Yaan watu wa yangá ni watupu Sana kichwan ,upeo mdogo Sana na maneno yote haya yanakuja baada ya kuona mnaenda kubeba ubingwa lakin pia hamkos sabab mfano Simba angekua na dalili hizo lawama zote angebebeshwa mbaba wa watu kalia ila malalamiko hayo saiz hatuyasikii Zaid mnakuja na hoja dhaifu Kama hizi.

Ujue mpira Kisha nao utakujua ,hata epl na bundasliga ubingwa wanapokezana so elewa kila timu inakua na malengo ya ubingwa ila bahat na kujipanga Zaid ya wenzio bas unaibuka mshindi Kati ya wengi na huwez kuwa na bahat kila msimu .

Ajabu mnambwembwe huu msimu mkifika club bingwa nako mkalete hizi mbwembwe

Zaman nilijua Simba na yanga ni watan wa jad ila kumbe sio siku iz ni uadui uliojaa usntch ndani yake.

Pia ubingwa huenda sambamba na aliyecheza kamali yake vzr kwenye usajir yaan akapatia ,yanga kwasasa iko vzr lakin haimanish watakua vzr miaka yote Kuna muda nao lazima wachange karata zao vibaya huo ndio mpira .

Man u alisumbua snaa epl je saiz Ana kipi cha maana? Lakin hiyo haiondoi kuwa man u ni club Bora pamoja na kwamba haibeb ubingwa .

Mmekomaa na figisu kuwa Simba Ana michezo ya ujanja ujanja ,vipi nyie yanga hamzitak b kadhaa anazopata Simba huko kimataifa ?

Acheni roho ya kwann ,pambanen nanyi ili muwe km Simba hasa kimataifa.
 
Back
Top Bottom