Hivi Simba huwa ni uwezo wenu au kuna la ziada?

Yanga kweli utosini kuna kamasi sasa wakati league inaanza team zilikuwa zinaahidiwa ukiifunga simba unapewa 10M au 15 M na simba ilikuwa inakamiwa uliona simba wakilalamika dodoma jiji walipotoa sare walishangilia kama wamechukua ubingwa ila wakaja kufungwa na yanga wanatoka wanacheka mtani huku tunapotezeana muda tu tunawasubiri kuwaona kimataifa mabingwa wa kihistoria ili sisi simba tujifunze kandanda kutoka kwenu.
 
ungekuwa unaujua mpira japo kidogo tu usingeandika haya.

Ungekuwa unajua ktk ligi yetu timu ndogo zikikutana na simba au yanga , zinachezaje kimbinu usingepost haya.

Ungekua unajua kwamba timu za nje huwa zinacheza mpira wa wazi na

kufunguka kushambulia na siyo kukaa nyuma ya mpira Watu 9 km ilivyo kwenye ligi yetu ungekaa kimya.

Hujui simba ina uzoefu wa kutosha kwa mechi za kimataifa basi usingekua na shaka.

Najua nongwa Ni Kwasababu Ni Simba na so Yanga.

So dhambi Yanga kujifunza kwa Simba, Kwasababu mwakani itakuwa tena mechi mbili mnapigwa zote mnarudi.

Km Mtaenda na mentality kwamba mayele atawapa matokeo kimataifa basi mmeshatolewa kabla ya kucheza.

Mpaka sasa Yanga hamna timu ya kushinda mechi ya kimataifa . Mnahitaji usaji wa maana sana.Kuna wakati mtakuja kulielewa hili. Ila itakua too late hasa.

Muda utaongea.
 
Sidhani kama unachokisema unakielewa.
Simba kamfunga galax 2 ,0 kwao.
Simba kamfunga as vita 1,0 kwao
Simba kamfunga Plateu 1,0 kwao
Simba kamfunga swallows 4,0 kwao
Simba kadroo na Aly hilali kwao
Simba kadroo na Gendarmaree kwao.
Simba kadroo na ud song kwao
Leo mtu anakwambia simba huwa anashinda kwa Mkapa tu. Eti inatia mashaka. Itoshe tu kusema kufungwa nyumbani kwako kila mwaka na timu ngeni kama wafanyavyo Yanga ni uzembe wa Hali ya juu na kulipunguzia taifa heshima
 
Yanga wengi ni watu wa pwani wana maneno maneno na wafugaji wa ng'ombe
 
Hawana akili hao. Utopolo maana yake ni matope
 
Yani wanachekesha sanaa. Mpira ni game ya kimahesabu ukikosea kuchanga vzr hesabu zako unapoteza. Sasa toka wajione kuwa wanafunga hivyo vi goli vyao ndo mkajikuta mnaishangaa Simba kwanini hafungi? Simba kwa sasa imeshazoea mashindano makubwa na tactics za mashindano makubwa ni mpira uliojiachia mpira wa kuonyesha mbinu na unachezwa na kila mtu sio mpira wa kujibanza na kuviziana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…