Hivi Simba huwa ni uwezo wenu au kuna la ziada?

Hivi Simba huwa ni uwezo wenu au kuna la ziada?

Mwenyekiti Mangugu alitangaza kuwa kuanzia mechi ya Biashara Mara Simba itaanza harakati zake kupunguza gepu la point, mara tukaanza kuona washika vibendera wanaruhusu magoli ya offside ya Simba, magoli halali ya timu pinzani kufutwa. Kelele zilipigwa marefa wakawekwa semina. Mangugu anaweza kukuthibitishia kwamba Simba wanashinda kwa kununua waamuzi.
Yanga kweli utosini kuna kamasi sasa wakati league inaanza team zilikuwa zinaahidiwa ukiifunga simba unapewa 10M au 15 M na simba ilikuwa inakamiwa uliona simba wakilalamika dodoma jiji walipotoa sare walishangilia kama wamechukua ubingwa ila wakaja kufungwa na yanga wanatoka wanacheka mtani huku tunapotezeana muda tu tunawasubiri kuwaona kimataifa mabingwa wa kihistoria ili sisi simba tujifunze kandanda kutoka kwenu.
 
Hivi huwa ni uwezo wenu au Kuna la ziada??

Nimewaangalia mechi yenu ya juzi,
mkapata goli dakika ya 93, yaani mlishinda kama ajali tu, au kwa bahati mbaya, hamkucheza Mpira wowote wa maana zaidi ya bora liende.

Leo Mchezo wenu huu na wana usalama wetu, inanidhihirishia hii ndio tamati ya uwezo wenu, wala sitanii!

Mmecheza Mpira Mbovu, hamkufungwa kwa sababu wanausalama wenyewe hawakuwa makini golini kwenu.

Hii inanizidishia mashaka niliyonayo juu ya matokeo yenu na timu za nje na hasa mkiwa uwanja wa nyumbani.

Wachezaji ni hao hao, makocha ni hao hao, viongozi na mashabiki ni hao hao.

Kwani Kuna lipi la ziada wenzetu huwa mnafanya nje ya misingi ya Soka kinachowafanya wageni kila siku kuchoka kipindi cha pili?

Unajua mimi nilidhani hizi mechi za nyumbani ndo zingethibitisha uwezo wenu unaosemwa kimataifa, lakini dah, najionea mangolibo tu.

Najua badala ya kutafakari na kujitathmini mtalipuka kujibu kwa ghadhabu, lakini hapana, nina haki ya kueleza mashaka yangu, Kuna kitu hakiko sawa, kuna kitu kinaendelea na ninaamini wakati utaongea punde!

Msije kunijibu kwa mifano ya Timu zingine kubwa, Timu kubwa zinafungwa na zinatoka sare ndio soka, lakini wanakuonesha Ukubwa wao bhana!
Arsenal Jana kafungwa lakini unaona namna wanavyopambana, unauona Ukubwa wao na mwisho wa siku unasema kweli kuna bahati mbaya kwenye soka.

Anyways, acha tusubiri tuone, yetu macho
ungekuwa unaujua mpira japo kidogo tu usingeandika haya.

Ungekuwa unajua ktk ligi yetu timu ndogo zikikutana na simba au yanga , zinachezaje kimbinu usingepost haya.

Ungekua unajua kwamba timu za nje huwa zinacheza mpira wa wazi na

kufunguka kushambulia na siyo kukaa nyuma ya mpira Watu 9 km ilivyo kwenye ligi yetu ungekaa kimya.

Hujui simba ina uzoefu wa kutosha kwa mechi za kimataifa basi usingekua na shaka.

Najua nongwa Ni Kwasababu Ni Simba na so Yanga.

So dhambi Yanga kujifunza kwa Simba, Kwasababu mwakani itakuwa tena mechi mbili mnapigwa zote mnarudi.

Km Mtaenda na mentality kwamba mayele atawapa matokeo kimataifa basi mmeshatolewa kabla ya kucheza.

Mpaka sasa Yanga hamna timu ya kushinda mechi ya kimataifa . Mnahitaji usaji wa maana sana.Kuna wakati mtakuja kulielewa hili. Ila itakua too late hasa.

Muda utaongea.
 
Madridi ipi ilikuwa mbovu halafu ikachukua UEFA?

Kuhusu Orlando pirates kushika nafasi ya tano inatokana na ugumu wa ligi yao.

Kinacholeta maswali kwa Simba sio kutofanya vizuri kwenye ligi ya ndani, bali ni kwanini uwanja wa Mkapa pekee?

Simba akienda away kwenye kimataifa yaani wanakuwa kama ruvu shooting vile wanafungwa magoli 2+
Sidhani kama unachokisema unakielewa.
Simba kamfunga galax 2 ,0 kwao.
Simba kamfunga as vita 1,0 kwao
Simba kamfunga Plateu 1,0 kwao
Simba kamfunga swallows 4,0 kwao
Simba kadroo na Aly hilali kwao
Simba kadroo na Gendarmaree kwao.
Simba kadroo na ud song kwao
Leo mtu anakwambia simba huwa anashinda kwa Mkapa tu. Eti inatia mashaka. Itoshe tu kusema kufungwa nyumbani kwako kila mwaka na timu ngeni kama wafanyavyo Yanga ni uzembe wa Hali ya juu na kulipunguzia taifa heshima
 
Unataka kuniambia misimu minne mfululizo aliyobeba ubingwa Simba mechi zote alicheza kwa mkapa? Napata mashaka Kama unaujua mpira vizuri na kwa undani .

Kwanza elewa nini maana ya ligi ,pia elewa neno ki mashindano ,pia elewa nini maana ya mpira .

Ni ligi gan dunian ambapo timu moja tu ndio inakua bingwa miaka nenda Rudi? Je ikiwa hivyo je kutakua na Radha ya hiyo ligi?

Yaan watu wa yangá ni watupu Sana kichwan ,upeo mdogo Sana na maneno yote haya yanakuja baada ya kuona mnaenda kubeba ubingwa lakin pia hamkos sabab mfano Simba angekua na dalili hizo lawama zote angebebeshwa mbaba wa watu kalia ila malalamiko hayo saiz hatuyasikii Zaid mnakuja na hoja dhaifu Kama hizi.

Ujue mpira Kisha nao utakujua ,hata epl na bundasliga ubingwa wanapokezana so elewa kila timu inakua na malengo ya ubingwa ila bahat na kujipanga Zaid ya wenzio bas unaibuka mshindi Kati ya wengi na huwez kuwa na bahat kila msimu .

Ajabu mnambwembwe huu msimu mkifika club bingwa nako mkalete hizi mbwembwe

Zaman nilijua Simba na yanga ni watan wa jad ila kumbe sio siku iz ni uadui uliojaa usntch ndani yake.

Pia ubingwa huenda sambamba na aliyecheza kamali yake vzr kwenye usajir yaan akapatia ,yanga kwasasa iko vzr lakin haimanish watakua vzr miaka yote Kuna muda nao lazima wachange karata zao vibaya huo ndio mpira .

Man u alisumbua snaa epl je saiz Ana kipi cha maana? Lakin hiyo haiondoi kuwa man u ni club Bora pamoja na kwamba haibeb ubingwa .

Mmekomaa na figisu kuwa Simba Ana michezo ya ujanja ujanja ,vipi nyie yanga hamzitak b kadhaa anazopata Simba huko kimataifa ?

Acheni roho ya kwann ,pambanen nanyi ili muwe km Simba hasa kimataifa.
Yanga wengi ni watu wa pwani wana maneno maneno na wafugaji wa ng'ombe
 
Sidhani kama unachokisema unakielewa.
Simba kamfunga galax 2 ,0 kwao.
Simba kamfunga as vita 1,0 kwao
Simba kamfunga Plateu 1,0 kwao
Simba kamfunga swallows 4,0 kwao
Simba kadroo na Aly hilali kwao
Simba kadroo na Gendarmaree kwao.
Simba kadroo na ud song kwao
Leo mtu anakwambia simba huwa anashinda kwa Mkapa tu. Eti inatia mashaka. Itoshe tu kusema kufungwa nyumbani kwako kila mwaka na timu ngeni kama wafanyavyo Yanga ni uzembe wa Hali ya juu na kulipunguzia taifa heshima
Hawana akili hao. Utopolo maana yake ni matope
 
Yani wanachekesha sanaa. Mpira ni game ya kimahesabu ukikosea kuchanga vzr hesabu zako unapoteza. Sasa toka wajione kuwa wanafunga hivyo vi goli vyao ndo mkajikuta mnaishangaa Simba kwanini hafungi? Simba kwa sasa imeshazoea mashindano makubwa na tactics za mashindano makubwa ni mpira uliojiachia mpira wa kuonyesha mbinu na unachezwa na kila mtu sio mpira wa kujibanza na kuviziana.
 
Back
Top Bottom