Hivi Simba kwanini wasimchukue Morrison?

Hivi Simba kwanini wasimchukue Morrison?

Siku ile aliyo vua bukta na akabaki na chupi tu.
Bosi Azim alikasilika sana.
Na kwasababu Bosi ni Mwislamu safi aliamua kumfukuza moja kwa moja.

Hii ndio sababu ya msingi.

Kumbuka Azim ni baba mdogo wa MO

Morrison Bado anaipenda Simba sana na yuko tayari kurudi Simba hata kwa kucheza bure.
Ili arudi Simba basi walio karibu na Azim wakamwombe radhi sana ili amsamehe.
Na kumwelimisha Morrisson namna ya kuishi kwa staha Tanzania.

Akienda Morrison mwenyewe atasamehewa mara moja na kurudishwa Simba.
Umeandika kama umekatwa kichwa, mchezaji wa nje yuko kimaslahi sio mapenzi kwa timu,acheze bure familia yake ikale kwenu.
 
Chukua Hiyoo kutoka kwa wakili msomi Amekua sasa Wanaume Wako Msimbazi Sio Wale Mademu wa NyumaMwiko
FB_IMG_17327619704720844.jpg
 
Back
Top Bottom