Hivi Simba mlishindwa nini Kumfuata Diadora moja kwa moja? Hadi mumtumie dalali JEYI-RUTY?

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,309
Reaction score
15,294
Beberu la kihaya ni mjanja sana.

Kaomba tenda ya bilion 5.6 kwa mwaka, Yeye kaiuza tenda kwa third party ambaye ni DIADORA (kampuni ya vifaa vya michezo kutoka Italy) kwa bilion 7.9 kwa mwaka.

Wakati huo huo ako na kamisheni yake kwsnye kil jezi inayouzwa.(Kamisheni approxmatly USD 2 per jersy)

Muhuni kila mwaka anapiga faida isiyo pungua bilioni 2.3 plus, kamisheni inayo kadiliwa USD 450K kutoka Diadora HQ.

TOTAL = Bilion 3.3 hapo.

Hii pesa ingewasaidia kwenye kujsajili tu kila m2anzo wa msimu, ila wahuni wameamua iingie mfukoni mwa Jey Ruty ili wapewe 10 pasent na muhaya huyu.

Hapo ndipo Eng Hersi anaonekana Mchawi kwenye madili, kumbe uweledì mdogo tu unahitajika kupindua meza ndogo ndogo.
 
kuandika kwenyewe hujui, sometimes weka pembeni ushabiki senge uliokujaa, umeandika uzi mreeeefu kumbe unataka kumsifia Eng. Hersi
 
Boss inawezekana bila ya huyo unayemuita third part either diadora au Simba mmojawapo hangemjua mwenzie.
Tuwaheshimu Hawa watu kati maana husaidia madili mengi kukamilika.
Kuna kauli watu huwa wanaitumia kuwa UKIKUBALI HUJAIBIWA.
Umejibu vzr sana Mkuu
 
Nadhani Simba imefaidika zaidi na huo mkataba. Mengine ni ya ziada tu.
 
Rais wako hersi kakusema huko.umemsikia? Mana wewe unawakilisha watu wenye roho mbaya na MASIKINI /FUKARA.
 
Beberu la kihaya ni mjanja sana.

Kaomba tenda ya bilion 5.6 kwa mwaka, Yeye kaiuza tenda kwa third party ambaye ni DIADORA (kampuni ya vifaa vya michezo kutoka Italy) kwa bilion 7.9 kwa mwaka.

Wakati huo huo ako na kamisheni yake kwsnye kil jezi inayouzwa.(Kamisheni approxmatly USD 2 per jersy)

Muhuni kila mwaka anapiga faida isiyo pungua bilioni 2.3 plus, kamisheni inayo kadiliwa USD 450K kutoka Diadora HQ.

TOTAL = Bilion 3.3 hapo.

Hii pesa ingewasaidia kwenye kujsajili tu kila m2anzo wa msimu, ila wahuni wameamua iingie mfukoni mwa Jey Ruty ili wapewe 10 pasent na muhaya huyu.

Hapo ndipo Eng Hersi anaonekana Mchawi kwenye madili, kumbe uweledì mdogo tu unahitajika kupindua meza ndogo ndogo.
Utopwinyo wanalamba buku jero kwa kila mauzo ya jesy.
 
Diadora hawana tawi Tanzania na kama nchi hatuna mifumo iliyo rasmi ya usambazaji na uuzaji wa vitu kama nguo. Lazima mtu wa kati aingie hapo kuwezesha hilo kufanyika maana anakuwa anajua vurugu zetu na changamoto za usambazaji.

Hata Adidas au Nike hawawezi kuja Tanzania moja kwa moja katika mazingira ya sasa.
 
FB_IMG_1753944708874.jpg
 
Back
Top Bottom