Hivi Simba SC tutawahi tena kuja kuwa na Kikosi imara na cha kukumbukwa kama hiki?

Hivi Simba SC tutawahi tena kuja kuwa na Kikosi imara na cha kukumbukwa kama hiki?

Kwa speed hii.... Kama Arsenal tu!!!! Makombe ya mchangani ndo yanaendelea kumuweka Emirates Wenger!!!
 
Hapa ndipo unaona kuwa mpira wa TZ hauna maana. Yaani mashabiki wanashangilia majina badala ya vipaji, kweli tutafika jamani?
 
  1. Juma Kaseja
  2. Said Swedi
  3. Ramadhani Wasso
  4. Boniface Pawasa
  5. Patrick Betwel Buba ' Mmasai '
  6. Seleman Matola a.k.a Veron a.k.a Mzambia
  7. Steven Mapunda ' Garincha '
  8. Shekhan Rashid ' Fundi '
  9. Joseph Kaniki ' Golota '
  10. Emanuel Gabriel Mnyakyusa ' Batigol '
  11. Ulimboka Mwakingwe
Rest in peace sana Kocha James Aggrey Siang'a
Hawa kinda wa juzi tu,
Simba ya kina Zamoyoni Mogela, kina ball Bugler Malota Soma, Iddi Pazi, Sunday Juma, Hamis Thobias Gaga
'Gagarino' daaah, Ramadhani Lenni, Omar Hussein
Wacha kabisa.
 
Tanzania hakuna mpira, ni gelesha tu.....hata wale wa zamani walikuwa ni wataalam wa kwenda kwa Babu kama hawa tulionao hivi sasa. Kuwa shabiki wa mpira TZ ni kujipa presha tu.
 
  1. Juma Kaseja
  2. Said Swedi
  3. Ramadhani Wasso
  4. Boniface Pawasa
  5. Patrick Betwel Buba ' Mmasai '
  6. Seleman Matola a.k.a Veron a.k.a Mzambia
  7. Steven Mapunda ' Garincha '
  8. Shekhan Rashid ' Fundi '
  9. Joseph Kaniki ' Golota '
  10. Emanuel Gabriel Mnyakyusa ' Batigol '
  11. Ulimboka Mwakingwe
Rest in peace sana Kocha James Aggrey Siang'a
Hapa simuoni Machupa , Musso , abdul mashine, victor costa, Amri said, Christopher Alex
Zamalek anakufa na kuvuliwa ubingwa wa afrika pilau la karamu yao ya ubingwa likadoda
 
Zimbaaaaa mnyamaaaaaa! Waarabu wanaita Zimbaaaaaaaa!
Waliochuchumaa kutoka kushoto;
Athumani China, Dua Said, ........
Waliosimama kutoka kulia;
George Masatu, Mustaga Hoza, Hussein Masha, Mohamed Mwameja, George lucas(sima uhakika), madaraka suleimani(mzee wa kiminyio)....
View attachment 541267


Huyo ni Godwin Aswile not George Lucas but Thanks.
 
Huyo ni Godwin Aswile not George Lucas but Thanks.

na waliochuchumaa ni Athumani China,Dua,...., Iddi Selemani(mdogo wake madaraka selemani) na Edward Chumila
Hapa simuoni Machupa , Musso , abdul mashine, victor costa, Amri said, Christopher Alex
Zamalek anakufa na kuvuliwa ubingwa wa afrika pilau la karamu yao ya ubingwa likadoda

Labda Abdul Mashine tu, ila machupa, musso, victor costa, amri said na christopher alex wote wapya hao after 1998 wakati wa Sian'ga, ingawa machupa aliondoka kabla mashindano hayaisha. Ila hao ndiyo walioihenyesha Zamalek baada ya msimu mmoja nyuma kutolewa na Ismailia kwa mbinde.
(RIP)
 
Kikosi bora cha simba cha kukumbukwa miaka yote ni
1- Omary mahadhi
2-Daud salum "Bruce Lee'
3- Mohammed kajole " machela'
4- Aloo Mwitu
5- Mohammed Bakar 'Tall'
6- Nico Njohole
7- Abdallah Mwinyimkuu
8- Ezekiel Greyson "juju men'
9- Jumanne Hassan Masimenti
10- Adam Sabu
11-Thuwen Ally
Sub
Moses Mkandawire
Martin kikwa
Dan Mwalusamba


Perfect!
 
  1. Mackenzi Ramadhan
  2. Mavumbi Omary
  3. Twaha Hamidu ' Noriega '
  4. Mustapha Hoza
  5. Frank Kassanga ' Bwalya '
  6. Idi Seleman Kibode ' Nyigu '
  7. Issa Kihange
  8. Rajab Msoma
  9. Edward Chumila
  10. Malota Soma ' ball juggler '
  11. Dua Said Dua
Nadhani nimekidhi haja yako ' Kamarada ' wangu.
bila kumsahau john makelele (zig zaga)

Sent from my SM-A300FU using JamiiForums mobile app
 
Vipi ile Simba ya

Nteze John, Rungu.

Niliuona ule moto

Moto wa volcano
 
na waliochuchumaa ni Athumani China,Dua,...., Iddi Selemani(mdogo wake madaraka selemani) na Edward Chumila


Labda Abdul Mashine tu, ila machupa, musso, victor costa, amri said na christopher alex wote wapya hao after 1998 wakati wa Sian'ga, ingawa machupa aliondoka kabla mashindano hayaisha. Ila hao ndiyo walioihenyesha Zamalek baada ya msimu mmoja nyuma kutolewa na Ismailia kwa mbinde.
(RIP)
Edward Cyril Chumila silent killer ama eddo boy moja ya washambuliaji bora kabisa wa kati kupata kutokea katika ardhi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
 
,hakuna kikosi imara kama cha sasa ndo maana wamefika mbali
 
  1. Mackenzi Ramadhan
  2. Mavumbi Omary
  3. Twaha Hamidu ' Noriega '
  4. Mustapha Hoza
  5. Frank Kassanga ' Bwalya '
  6. Idi Seleman Kibode ' Nyigu '
  7. Issa Kihange
  8. Rajab Msoma
  9. Edward Chumila
  10. Malota Soma ' ball juggler '
  11. Dua Said Dua
Nadhani nimekidhi haja yako ' Kamarada ' wangu.
Damian Kimti hakuwa kwenye hiki kikosi?
 
Kuna kile cha kina Nteze John, Husein Marsha, Mohamed Mwameja nacho kilikuwa ni shida
 
Kuna timu ya 1974 ilizitoa timu ya Lesotho, Green Buffalo's( Zambia) Heart of Oaks ( Ghana)na ikatolewa kwa mbinde na Mehalla El Kubra ( Egypt)... 1.Mambosasa 2.Shaban Baraza 3.Mohamed Kajole 4.Athuman Juma 5.Choggo / Aloo Mwitu 6.Khalid Abeid 7.Willy Mwaijibe 8.Haidari Abeid 9.Michael Sentala/ Adam Sabu10.Kibaden 11.Abasi Dilunga baadaye ikaja timu kali 1975 iliyokuja kutawala for 5 yrs hasa baada ya Yanga kumegeguka na kuzaa Pan African na Simba iliyokuwa na kipa Omary Mahadhi toka Tanga ( baada ya Mambosasa kuwa anazingua na kuna kipindi alitandikwa kibao na Shabani Baraza) na wakaongezeka kina Mohamed Tall na Jumanne Masiminti ( toka Cosmopolitan) Martin Kikwa( kiltex Arusha)Thuwen Ally & Mustafa ( Zanzibar)Aluu Ally na Kassim Manga ( Morogoro) na ndio waliowashikisha adabu Yanga kandambili kwa kuwabugiza goli 6-0 na ilitolewa na Vita pale kishansa kwa goli 1-0 na Dar ngoma iliisha 0-0. nakumbuka Got Mahia alifungwa na Vita goli 8-0 na refa akiwa mtanzania Kassim Chona....dah nimeishiwa charge baaden
 
Christopher Alex(marehem) Amri Said,Madaraka Selemani jazia hapo mkuu.

Mkuu kumbuka kilivyotoka hiki kilikuja cha marehemu Mafisango kilikuwa hatari yanga walikula mkono kama nitakuwa sahihi
 
Jamani naomba mnikumhushe kuna mechi moja ya simba na timu kama sikosei kutoka south afrika kombe la shirikisho/klab bingwa sikumbuki walipigiana penalty zaidi ya kumi adi golikipa simba ilishinda 11-10 mwenye kumbukumbu na mechi iyo tafadhali
 
Back
Top Bottom