Hawa kinda wa juzi tu,Rest in peace sana Kocha James Aggrey Siang'a
- Juma Kaseja
- Said Swedi
- Ramadhani Wasso
- Boniface Pawasa
- Patrick Betwel Buba ' Mmasai '
- Seleman Matola a.k.a Veron a.k.a Mzambia
- Steven Mapunda ' Garincha '
- Shekhan Rashid ' Fundi '
- Joseph Kaniki ' Golota '
- Emanuel Gabriel Mnyakyusa ' Batigol '
- Ulimboka Mwakingwe
Hapa simuoni Machupa , Musso , abdul mashine, victor costa, Amri said, Christopher AlexRest in peace sana Kocha James Aggrey Siang'a
- Juma Kaseja
- Said Swedi
- Ramadhani Wasso
- Boniface Pawasa
- Patrick Betwel Buba ' Mmasai '
- Seleman Matola a.k.a Veron a.k.a Mzambia
- Steven Mapunda ' Garincha '
- Shekhan Rashid ' Fundi '
- Joseph Kaniki ' Golota '
- Emanuel Gabriel Mnyakyusa ' Batigol '
- Ulimboka Mwakingwe
Zimbaaaaa mnyamaaaaaa! Waarabu wanaita Zimbaaaaaaaa!
Waliochuchumaa kutoka kushoto;
Athumani China, Dua Said, ........
Waliosimama kutoka kulia;
George Masatu, Mustaga Hoza, Hussein Masha, Mohamed Mwameja, George lucas(sima uhakika), madaraka suleimani(mzee wa kiminyio)....
View attachment 541267
Huyo ni Godwin Aswile not George Lucas but Thanks.
Hapa simuoni Machupa , Musso , abdul mashine, victor costa, Amri said, Christopher Alex
Zamalek anakufa na kuvuliwa ubingwa wa afrika pilau la karamu yao ya ubingwa likadoda
Kikosi bora cha simba cha kukumbukwa miaka yote ni
1- Omary mahadhi
2-Daud salum "Bruce Lee'
3- Mohammed kajole " machela'
4- Aloo Mwitu
5- Mohammed Bakar 'Tall'
6- Nico Njohole
7- Abdallah Mwinyimkuu
8- Ezekiel Greyson "juju men'
9- Jumanne Hassan Masimenti
10- Adam Sabu
11-Thuwen Ally
Sub
Moses Mkandawire
Martin kikwa
Dan Mwalusamba
husein masha, kasongo athman....simba bora ya kina Mohammed mwameja, dua saidi, george masatu,
bila kumsahau john makelele (zig zaga)Nadhani nimekidhi haja yako ' Kamarada ' wangu.
- Mackenzi Ramadhan
- Mavumbi Omary
- Twaha Hamidu ' Noriega '
- Mustapha Hoza
- Frank Kassanga ' Bwalya '
- Idi Seleman Kibode ' Nyigu '
- Issa Kihange
- Rajab Msoma
- Edward Chumila
- Malota Soma ' ball juggler '
- Dua Said Dua
Edward Cyril Chumila silent killer ama eddo boy moja ya washambuliaji bora kabisa wa kati kupata kutokea katika ardhi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibarna waliochuchumaa ni Athumani China,Dua,...., Iddi Selemani(mdogo wake madaraka selemani) na Edward Chumila
Labda Abdul Mashine tu, ila machupa, musso, victor costa, amri said na christopher alex wote wapya hao after 1998 wakati wa Sian'ga, ingawa machupa aliondoka kabla mashindano hayaisha. Ila hao ndiyo walioihenyesha Zamalek baada ya msimu mmoja nyuma kutolewa na Ismailia kwa mbinde.
(RIP)
Damian Kimti hakuwa kwenye hiki kikosi?Nadhani nimekidhi haja yako ' Kamarada ' wangu.
- Mackenzi Ramadhan
- Mavumbi Omary
- Twaha Hamidu ' Noriega '
- Mustapha Hoza
- Frank Kassanga ' Bwalya '
- Idi Seleman Kibode ' Nyigu '
- Issa Kihange
- Rajab Msoma
- Edward Chumila
- Malota Soma ' ball juggler '
- Dua Said Dua