Hivi Simba Sports Club imewahi kuchukua kombe gani la Kimataifa?

mmmh simba mabingwa wa kusindikiza abiria wakapande basi, wao wanarudi kwa miguu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].... Yaani ukiwaona wanavovimba kuwa wao ndo timu yenye mafanikio kimataifa, kumbe ni wasindikizaji tu
 
We dada wivu unakusumbua. Maswali mengine kaulize google.
Acha potojo wewe, Nimewaruhusu mka Google kisha mlete hapa kombe lolote ambalo linatambuliwa na shirikisho la mpira barani Africa ( caf ) alilowahi kushinda Simba
 
Usindikizaji nao unatofauliana. Anayesindikiza na ndala miguuni hufika mbali kuliko anayesindikiza miguu peku.
Wape simba heshima yao wamefanya ukapanda ndege kwenda kumwagiwa nje ute unaoteleza huko Nigeria na River united
Kwenye mpira Heshima ya pekee ni ushindi wa mataji tu hayo mengine mpeane heshima uko uko klabuni kwenu
 
Nyie mshaibeba simba mara ngapi kwenda kimataifa?heshimu anaekubeba kila msimu kwenda kushiriki kimataifa...tofaut na hapo tutaamua ss iv aende hata mtibwa sugar maana nyie kila mkienda ni kututia tu aibu huko nje
 
View attachment 2066475
Mpewe heshima kwa vipigo hivu?
We jamaa kipigo Cha 4-0 ambacho Simba alimdunda Yanga Mbona hujaweka hapa?,Ktk rekodi Yako umeonyesha tu Simba alipofungwa,Ziko mechi kibao za nje ambazo Simba ilishinda lkn wewe hujaweka,hii sio fair.Hii rekodi Yako ni feki,nenda kajipange upya.
 
Wamewahi kuwa washindi wa pili kombe la shirikisho barani Afrika.
 
Hapa inaonyesha ulivyo na akili fupi. Umeingia chumbani na Kabwili mkajadili mkaja na rekodi zenu za kikabwili . Kuwa na adabu kwa mtu anayekupeleka viti maalumu japo huwa unaenda kulitia aibu taifa
Ni uongo kua hamjawahi kupata hivyo vipigo?
 
Wamewahi kuwa washindi wa pili kombe la shirikisho barani Afrika.
Nadhani lengo langu nilitakiwa kujua kama je wameshawai kushinda kikombe chochote cha caf? Paka sasa sijapata jawabu lolote kutoka kwa mdau yeyote wa Simba S.C kuhusu swali langu zaidi ya kujificha kwenye makombe ya bonanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…