Hivi Simba Sports Club imewahi kuchukua kombe gani la Kimataifa?

kuendelea kubishana na wewe ni matumizi mabaya sana ya muda, Nina wasiwasi na uwezo wako wa kufikiri. Bye
Najua ume Google ukakosa hayo mafanikio ndio maana umekimbia, salimia mbumbumbu wenzako wambie waache kujitapa wakati hawajawai leta heshima yyte kimataifa zaidi yakusindikiza tu kama wenzao
 
Imezuka kasumba kwa washabiki na wapenzi wa klabu ya Simba S.C kutamba kuwa wao ndio wawakilishi wazuri kwenye michuano ya kimataifa kwa ngazi ya vilabu, Je wamewahi shinda nini huko kwenye hayo mashindano ya kimataifa? Au nao ni wasindikizaji tu kama wasindikizaji wengine?
shida ya kuzaliwa juzi halafu unakuja kuhoji mambo ya miaka ya 80 au 90 tena kwa ujuaji mwingi
 
Mkuu hao Makolo ni wasenge tu wasikuumize kichwa.. kwanza wangekuwa wazuri si wangecheza club bingwa.. senge sana hao..
Mwaka huu kikombe za ndani hawapati hata 1
 
Imezuka kasumba kwa washabiki na wapenzi wa klabu ya Simba S.C kutamba kuwa wao ndio wawakilishi wazuri kwenye michuano ya kimataifa kwa ngazi ya vilabu, Je wamewahi shinda nini huko kwenye hayo mashindano ya kimataifa? Au nao ni wasindikizaji tu kama wasindikizaji wengine?
Wapuuzi mko wengi,siyo kama yanga hatua ya kwanza kimataifa mpira unaanzishwa tu wanatolewa hapo hapo
 
Back
Top Bottom