mzee wa bwaksi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 2,255
- 3,972
- Thread starter
-
- #61
Umeshindwa kuonesha mafanikio ya Simba kimataifa kulingana na Mada yangu, nimeamua nikupuuzeHapo ndipo unazidi kuthibitisha kwamba kwenye football umepotea njia. Mtu mweledi kama unavyodai anajua nini kimefanyika
Uzi ufungweTusker Cup mara 6 (mshindi wa pili mara 1)
Cecafa Cup mara 5 (mshindi wa pili mara 6)
CAF mshindi wa pili mara 1.
Set the record straight. Weka za Yanga.
Aliyewaambia nyie uneducated hakukoseaView attachment 2066475
Mpewe heshima kwa vipigo hivu?
Swali lako kwenye huu uzi wako ni,"Hivi Simba sports club imewai kubeba kombe gani la kimataifa?"jibu ukapewa.Mbona Simba imekuwa mara kadhaa inasusia kushiriki haya mashindano ya kagame kwa kuona km yanawapotezea muda tu, wewe huoni kama hayana iyo hadhi unayotaka kutuaminisha?
Swali langu lipo kimkakati zaidi, labda kama umeshindwa kuling'amua na ndio maana mwenzako baada ya kukosa jibu akaja na hoja ya kombe la kagame na Tusker cup pia akasahau kutaja Simba super cup, kuhusu Simba kukacha michuano ambayo ya kagame kwa sababu zisizo na mashiko soma hapo chiniSwali lako kwenye huu uzi wako ni,"Hivi Simba sports club imewai kubeba kombe gani la kimataifa?"jibu ukapewa.
Ulipouliza ili swali tu [emoji121]nikajua wewe umeanza kufatilia mpira siku za karibuni.
Sasa unauliza tena swali lingine unazidi kudhihirisha ni kweli umeanza kufatilia mpira siku za hivi karibuni.
ni lini Simba walisema kushiriki Kagame cup ni kupoteza muda?
Mbona hujawekaNi uongo kua hamjawahi kupata hivyo vipigo?
Akuna swali la kimkakati apo ni mavi matupu.Swali langu lipo kimkakati zaidi, labda kama umeshindwa kuling'amua na ndio maana mwenzako baada ya kukosa jibu akaja na hoja ya kombe la kagame na Tusker cup pia akasahau kutaja Simba super cup, kuhusu Simba kukacha michuano ambayo ya kagame kwa sababu zisizo na mashiko soma hapo chini View attachment 2066863
Yale malengo ya CAF yamepotelea wapi?Wakati Simba anajitoa kushiriki Kagame cup alikuwa anashiriki mashindano gani mengine? Maana hapa ni matter of priorities
Eg hadi sasa Simba ana malengo ya kufika walau semi finals ya Shirikisho unadhani hilo linawezekana kwa kila siku kujitosa kwenye mashindano yanayoweza kuwachosha na hata kuwaumiza wachezaji kufikia priority ya club? Maana nasema haya nikizingatia kwamba kuna timu malengo yake ni kuifunga Simba tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wameshinda kombe la uji mara 3
Wewe hujala utelezi wa Galaxy juzi kati?Usindikizaji nao unatofauliana. Anayesindikiza na ndala miguuni hufika mbali kuliko anayesindikiza miguu peku.
Wape simba heshima yao wamefanya ukapanda ndege kwenda kumwagiwa nje ute unaoteleza huko Nigeria na River united
We jamaa una vituko sana eti umetafuta mafanikio ya Simba kimataifa umeyakosa. [emoji23][emoji23]Swali langu nadhani haujalielewa au umeamua kupotosha kwa makusudi kwa sababu ya unazi wako usiozingatia weledi, mimi nazungumzia ile kasumba ya wadau wengi wa Simba wanaojivunia mafanikio ya Simba kimataifa, sasa nimejaribu kuyatafuta hayo mafanikio nimeyakosa, nimefungua uzi ili wadau kama wewe muyalete badala yake unaanza nishambulia nikashabikie mchezo mwingine
Mkuu hebu nawewe ingia mzigoni ukayasake ukiyapata yaweke hapa jukwaani maana hii kasumba imetamalaki sana hasa hapa jamii forum kwa wanazi wa Lunyasi.. ukibishana nao kidogo tu utasikia wanakuambia wewe utopolo tulia sisi tukailetee nchi heshima.. sasa nimewauliza iyo heshima iko wapi wanaishia kusema eti tumechukua tusker cup mara Bunju super cup n.kWe jamaa una vituko sana eti umetafuta mafanikio ya Simba kimataifa umeyakosa. [emoji23][emoji23]
Mkuu, mashindano hasa ya club bingwa sio mepesi hata kidogo, hivyo every stage counts. Maana yangu ni kwamba anayeishia hatua ya nusu au robo fainali sio sawa na anaye tolewa hatua ya awali na ndio maana tukapata nafasi ya kupeleka timu nne kimataifa kama nchi kwa sababu ya Simba kufanya vizuri kimataifa na kukusanya points nyingi, mbali na hayo pia ranks za CAF zinaongea, Simba ipo nafasi ya 16 kwa ubora afrika nzima, niambie afrika nzima kuna vilabu vingapi vya mpira wa miguu, na nyie mpo nafasi ya ngapi ??. Hivyo jitahidi kuujua mpira kabla hujaja na nyuzi za kipopoma na kishabiki ambazo zinaonyesha ni namna gani ulivyo na either uelewa mdogo kwenye mpira au uwezo mdogo wa kufikiria,unavyosikia mafanikio kimataifa sio kuchukua kombe tu, mafanikio yapo ya aina nyingi pamoja na niliyo kutajia hapo juu, na sijaongelea kuhusu fedha alizovuna Simba kwa kufika kwenye hizo nafasi.Mkuu hebu nawewe ingia mzigoni ukayasake ukiyapata yaweke hapa jukwaani maana hii kasumba imetamalaki sana hasa hapa jamii forum kwa wanazi wa Lunyasi.. ukibishana nao kidogo tu utasikia wanakuambia wewe utopolo tulia sisi tukailetee nchi heshima.. sasa nimewauliza iyo heshima iko wapi wanaishia kusema eti tumechukua tusker cup mara Bunju super cup n.k
kuendelea kubishana na wewe ni matumizi mabaya sana ya muda, Nina wasiwasi na uwezo wako wa kufikiri. ByeKwaio umekubaliana namimi kuwa Simba hawajawahi kuleta heshima yoyote huko kimataifa zaidi tu yakusindikiza kina Al Ahly, Tp Mazembe na Kaizer Chief kuchukua kombe na yenyewe kurudi mikono mitupu kama wawakilishi wengine wa Tanzania kwa miaka yote?