mzee wa bwaksi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 2,255
- 3,972
- Thread starter
-
- #81
Najua ume Google ukakosa hayo mafanikio ndio maana umekimbia, salimia mbumbumbu wenzako wambie waache kujitapa wakati hawajawai leta heshima yyte kimataifa zaidi yakusindikiza tu kama wenzaokuendelea kubishana na wewe ni matumizi mabaya sana ya muda, Nina wasiwasi na uwezo wako wa kufikiri. Bye

shida ya kuzaliwa juzi halafu unakuja kuhoji mambo ya miaka ya 80 au 90 tena kwa ujuaji mwingiImezuka kasumba kwa washabiki na wapenzi wa klabu ya Simba S.C kutamba kuwa wao ndio wawakilishi wazuri kwenye michuano ya kimataifa kwa ngazi ya vilabu, Je wamewahi shinda nini huko kwenye hayo mashindano ya kimataifa? Au nao ni wasindikizaji tu kama wasindikizaji wengine?
Hasira za nini?[emoji23][emoji23]View attachment 2066475
Mpewe heshima kwa vipigo hivu?
Wapuuzi mko wengi,siyo kama yanga hatua ya kwanza kimataifa mpira unaanzishwa tu wanatolewa hapo hapoImezuka kasumba kwa washabiki na wapenzi wa klabu ya Simba S.C kutamba kuwa wao ndio wawakilishi wazuri kwenye michuano ya kimataifa kwa ngazi ya vilabu, Je wamewahi shinda nini huko kwenye hayo mashindano ya kimataifa? Au nao ni wasindikizaji tu kama wasindikizaji wengine?
Unavyo? Ponda kama unavyoIvi Hayo Nayo Ni Makombe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]