Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
"....TUNA......." Kolo uliyejificha kwenye kichaka cha Azam,kutwa kuandika thread za kipuuzi kuhusu Yanga,halafu muda unakuumbua mara Gamondi, Sijui Boka na wote wakakuumbua.Tubataeajia hiki Chuma kilichoingia.
Wewe kazi yako ni kwenda uwanjani, mambo ya wachezaji hayakuhusu.Naona recruitment ya simba ipo Cameroon, Nigeria huko ila humu humu kwenye NBC Premier league kuna vyuma.
Kuna mtu anakula pesa saa Dewji kwenye foreign players recruitment, amini.
Hivi Simba kuna mshambuliaji kama Elvis Rupia?
21 games goli 1. ππ elvis ni proven playerTubataeajia hiki Chuma kilichoingia.
Wewe kazi yako ni kwenda uwanjani, mambo ya wachezaji hayakuhusu.
Unaijuwa ten percent ya million 250 ni shilling ngapi?
Mangungu mwakani anagombea Ubunge na anashinda kwahiyo muwe wapole tu ombeeni uchaguzi ufike aondoke mwenyewe.10% ya 250k usd ni 25k usd ni 67million plus.
pesa nzuri.
Sasa kwa huyu Cameron player,Mo dewji ndio tatizo, Sasa hivi si karudi kwenye Bodi Sasa nani anakula pesa yake. Timu ikifanya vizuri mnamsifia Ila ikivurunda watu wanakula pesa zake. Machawa Kama nyie ndio chanzo cha kuivuruga Simba kwa sababu mpo kimaslahi zaidi.
Kaumbuka mchana kweupe."....TUNA......." Kolo uliyejificha kwenye kichaka cha Azam,kutwa kuandika thread za kipuuzi kuhusu Yanga,halafu muda unakuumbua mara Gamondi, Sijui Boka na wote wakakuumbua.
Kumbe Kolo ndio maana una nyuzi za kipuuzi puuzi.View attachment 3069739
π€ msimbazi kuna shidaHata kiungo kama marouf chakei Simba hayupo
Nguvu ulizotumia kuisema Yanga na Gamondi, ungezitumia kuishauri viongozi wa timu yako ya Simba nini wafanye, bila shaka mngefika mbali sanaNaona recruitment ya simba ipo Cameroon, Nigeria huko ila humu humu kwenye NBC Premier league kuna vyuma.
Kuna mtu anakula pesa za Dewji kwenye foreign players recruitment, amini.
Hivi Simba kuna mshambuliaji kama Elvis Rupia?