Hivi Simba tuna mshambuliaji mzuri kuliko Elvis Rupia?

Hivi Simba tuna mshambuliaji mzuri kuliko Elvis Rupia?

Danielmwasi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2021
Posts
2,134
Reaction score
3,834
Naona recruitment ya simba ipo Cameroon, Nigeria huko ila humu humu kwenye NBC Premier league kuna vyuma.

Kuna mtu anakula pesa za Dewji kwenye foreign players recruitment, amini.

Hivi Simba kuna mshambuliaji kama Elvis Rupia?

1723628385458.png
 
Naona recruitment ya simba ipo Cameroon, Nigeria huko ila humu humu kwenye NBC Premier league kuna vyuma.

Kuna mtu anakula pesa saa Dewji kwenye foreign players recruitment, amini.

Hivi Simba kuna mshambuliaji kama Elvis Rupia?

Wewe kazi yako ni kwenda uwanjani, mambo ya wachezaji hayakuhusu.

Unaijuwa ten percent ya million 250 ni shilling ngapi?
 
Mo dewji ndio tatizo, Sasa hivi si karudi kwenye Bodi Sasa nani anakula pesa yake. Timu ikifanya vizuri mnamsifia Ila ikivurunda watu wanakula pesa zake. Machawa Kama nyie ndio chanzo cha kuivuruga Simba kwa sababu mpo kimaslahi zaidi.
Sasa kwa huyu Cameron player,
Ni bonge tipwa tipwa si bora Elvis Rupia.

unajua yanga walimtaka, wakaona bora guede 😂😂😂😂.

guede alikuwa hana timu, ila ni bora

Sasa sijui striker gani simba wanachukua.
 
Naona recruitment ya simba ipo Cameroon, Nigeria huko ila humu humu kwenye NBC Premier league kuna vyuma.

Kuna mtu anakula pesa za Dewji kwenye foreign players recruitment, amini.

Hivi Simba kuna mshambuliaji kama Elvis Rupia?

Nguvu ulizotumia kuisema Yanga na Gamondi, ungezitumia kuishauri viongozi wa timu yako ya Simba nini wafanye, bila shaka mngefika mbali sana
 
Back
Top Bottom