Haijawahi kutokeaHatuna hofu na safari hii kwenye league tunawapiga nje ndani.
Ni ubishi tu, lakini YANGA ina kikosi bora kuliko SIMBA idara zote.Haijawahi kutokea
Kupata kichekesho kama hiki bonyeza kitufe cha utopoloNi ubishi tu, lakini YANGA ina kikosi bora kuliko SIMBA idara zote.
Hahahah! Makolo ubishi tu.Kupata kichekesho kama hiki bonyeza kitufe cha utopolo
Kamuulize mama yako. Ndiye wa kike mwenzaoMsimu huu tangu uanze club ya simba mechi zake zote 5 zimechezeshwa na waamuzi wa kike. Je kuna siri gani wadau
nyie naona mmewekeza kwa marefaMganga wenu aliwaaambia mumuongeze hela mkagoma.
Ihefu akafanya yake.
Baada ya kumlipa ndo mkashinda tena
Nakazia hadi watoe milio yote.Bado hamjasema, mpaka mseme.
Jifariji tu mkuu ndo tiba pekee iliyobakiNi ubishi tu, lakini YANGA ina kikosi bora kuliko SIMBA idara zote.
Sawa, ila mnachuana na KMC kugombea nafasi ya tatuNi ubishi tu, lakini YANGA ina kikosi bora kuliko SIMBA idara zote.
huo ubora uko kwenye kitu gani hapo utopoloHahahah! Makolo ubishi tu.
Tumetajwa watatu kwa ubora Africa, unazani kwa nini siyo nyie?