Hivi simba wana siri gani na waamuzi wa kike?

Hivi simba wana siri gani na waamuzi wa kike?

Izi mbeleko kuna muda zitagoma ndipo watalia na kusaga meno.

Wadau kadri wanavyo piga kelele shinikizo linazidi kuna muda hawataweza wata acha mchezo uwe fair ndipo mtu mzima atakapo aibika.
 
Ni mbinu nyepesi haina gharama kama bahasha
 
Kwaiyo Haki ipo kwa wanaume Tu wanaruhusiwa kuchezesha zaidi ya mechi 5 na sio wanawake ingekua refa mmoja Sawa wanabadirishwa 😥
 
Back
Top Bottom