Hivi Simba watacheza na Mtibwa leo?

Akiwa nacho yanga sawa ila simba kakacha, bongo bhanaaa
 
Hivi Watanzania kwann mnakuwa wapumbavu kiasi hiki?

Mm nimeuliza kama simba watacheza Leo,unachotakiwa kujibu n ndiyo au hapna,au kama hujui unatakiwa kukaa kimya
Hawachezi ligi leo. Wameenda uarabuni hawapo nchini.
 
Eti watanzania mnakua wapumbavu kiasi hicho
Wewe ni Mkenya au kama ww ni Mtanzania ni pamoja na wewe pia ni mpumbavu
 
Upumbavu ni kuaachanganya watanzania wote wakati ww mwenyewe ni Mtanzania
 
Wenzetu ulaya; timu inatoka kucheza mechi ya ligi Jumamosi halafu Jumanne inaenda kucheza champions league. Au timu inatoka kucheza europa league Alhamisi halafu jumamosi au jumapili inacheza mechi ya ligi. Upuuzi huu wa kubadili badili ratiba za mechi za ligi hakuna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…