huko kwenu vipi
JF-Expert Member
- Jun 4, 2015
- 1,520
- 1,462
Hivi Simba watacheza na Mtibwa Leo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wameomba pooh, ni muziki mzito kombe la vpl linayeyuka kwenye matumaini yaoHivi Simba watacheza na Mtibwa Leo?
Empty set kabisa
Wameomba pooh, ni muziki mzito kombe la vpl linayeyuka kwenye matumaini yao
Wameomba iwe kiporo. Ingekuwa ni Yanga, wangeomba ligi isimame ili Yanga wale viporo vyao.Hivi Simba watacheza na Mtibwa Leo?
Mbona mnajisahau sana mkuu, vile viporo vinne vya msimu uliopita ilikuwaje kwaniWameomba iwe kiporo. Ingekuwa ni Yanga, wangeomba ligi isimame ili Yanga wale viporo vyao.
Hawachezi ligi leo. Wameenda uarabuni hawapo nchini.Hivi Watanzania kwann mnakuwa wapumbavu kiasi hiki?
Mm nimeuliza kama simba watacheza Leo,unachotakiwa kujibu n ndiyo au hapna,au kama hujui unatakiwa kukaa kimya
Mbona nyinyi weekend iliyopita mliomba na hakuna aliyeongeaWameomba iwe kiporo. Ingekuwa ni Yanga, wangeomba ligi isimame ili Yanga wale viporo vyao.
Eti watanzania mnakua wapumbavu kiasi hicho
Wewe ni Mkenya au kama ww ni Mtanzania ni pamoja na wewe pia ni mpumbavu