ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Nawaona washabiki wa Simba wanalia na usajili, Sasa hata kama Mo akitoa Hela hao best players mtawatoa wapi, maana timu mbili tu ndo Zina wachezaji Wazuri na wanaowafaa yaani yanga na Mamelodi, na kidogo Al ahly au esperance ambako kote huko hamuwezi kuchukua mchezaji.
Ninachoona Mimi hata mwakani mtalia hivyo hivyo usajili, shida mtanunua wapi wachezaji wakali au mtachukua akaminko, au wachezaji wa vipers au.
Nyie tulieni hivyo hivyo, wachezaji Wazuri ni wachache mno Sasa hivi na wanahitaji kocha mzuri na pia hakuna pa kuwapata , labda mje yanga na mje na Hela na Inonga kama nyongeza.
Katika kitu kinachowapa stress Simba Sasa hivi ni usajili tu, baleke c mzuri sana na pia ni WA Mkopo. Hii miaka mitano Simba mtaisoma namba.