Hivi sio desturi ya askari wa JWTZ kuvua kofia wakati wa maombi?

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hii video hapa rais Uhuru anaongoza kwa maombi, akimuombea mama yake rais Magufuli, mlinzi wa Uhuru amevua kofia mara moja, ila naona mlinzi wa Magufuli amekomaa na yake. Labda sio desturi ya JWTZ....

NDIO HIVYO NI KAMA OMONDI ALVYOFANYA KWA CURRENCY YA TZ KWENYE COMEDY YAKE. SI UTAMADUNI WA TZ
 
Mfumo huo wa jeshi na maombi vyote sio desturi ya Mwafrika.
Desturi ya Mwafrika ndio ipi maana hata urais, ubunge vyote sio vyetu, kama vipi ifute account yako ya JF kisha uvue nguo na kuvaa ngozi ya mnyama, kisha tembea peku nenda porini, ukiyafanya hayo nitakukubali kwamba wewe ndiye asili.
Usiwe mnafiki kama yule msanii anaitwa Mpoki, husema yeye hutembea peku ili kuwa Mwafrika, ilhali anatumia magari, anakunya kwenye vyoo vya mfumo wa wazungu n.k.
 
Usitegemee kumuona akivua kofia wakati kiunoni amevalia huu uchafu. Akithubutu tu kuvua kofia hirizi zitampiga shock.
27971660_997871160362486_3812967202107089193_n.jpg
 
Hii video hapa rais Uhuru anaongoza kwa maombi, akimuombea mama yake rais Magufuli, mlinzi wa Uhuru amevua kofia mara moja, ila naona mlinzi wa Magufuli amekomaa na yake. Labda sio desturi ya JWTZ....

Serikali/jeshi haina dini.
 
.....na watu wana imani zao. Nadhani wanajeshi huwa wanafunzwa kuwa na heshima na ustaarabu hata kwa dini ambazo haziwahusu.
Yule mjeshi ni mkristo, hata hivyo kuvua kofia siyo kuonesha unyenyekevu mbele za Mungu, kumbuka Mungu ni roho...John 4:24
 
Desturi ya Mwafrika ndio ipi maana hata urais, ubunge vyote sio vyetu, kama vipi ifute account yako ya JF kisha uvue nguo na kuvaa ngozi ya mnyama, kisha tembea peku nenda porini, ukiyafanya hayo nitakukubali kwamba wewe ndiye asili.
Usiwe mnafiki kama yule msanii anaitwa Mpoki, husema yeye hutembea peku ili kuwa Mwafrika, ilhali anatumia magari, anakunya kwenye vyoo vya mfumo wa wazungu n.k.
Sasa jeuri ya kuhoji huyo mwanajeshi kwa nini hakuvua kofia unaipata wapi?
Avue ama avae vyote sawa tu, ukweli ni kwamba hayo maombi hapo ni kujifurahisha tu.
 
Tanzania ni secular state; askari wetu hawaapi kutumikia dini bali ni kuilinda Katiba. Na Katiba yenyewe inampa kila mtu uhuru wa kuabudu dini yake na hata kwa wale wasio na dini.

Back
Top Bottom