Hivi sio desturi ya askari wa JWTZ kuvua kofia wakati wa maombi?

Hivi sio desturi ya askari wa JWTZ kuvua kofia wakati wa maombi?

Dini zote chini ya jua, ambazo zina amini kwamba kuna Mungu mmoja.
Uwongo mungu hana dini endeleeni kujidanganya maana ikiwa mungu anayo dini basi naye yupo chini ya ibada na kama mungu anayodini mbona anamwambia musa mm ni mungu wa usaka na Ibrahim kwanini akutaja jina la dini wala musa akuuliza wewe ni mungu wa dini gani bali aliuluza jina tu
 
Lkn ujue njia ya haki ni moja...na njia yenyewe niku muamini yeye,malaika wake,mitume na vitabu vyake...

Kwhyo km hufuati na wala huamini hvyo vitu...utakua umepotoka..manake lazima uamini km kuna Mungu,Malika wake,uamini mitume wake na vitabu vyake pia

Elimu ya kibera
 
Akivua kofia,mtasema avue na shati,akivua shati mtasema avue suruali akivua suruali mtasema avue...........
 
..anayesali ni Raisi. aide-de-camp yuko kazini.

..huyo askari wa Kenya ndio hajui wajibu wake, na usikute alifunga na macho ili asali vizuri.
 
Hii video hapa rais Uhuru anaongoza kwa maombi, akimuombea mama yake rais Magufuli, mlinzi wa Uhuru amevua kofia mara moja, ila naona mlinzi wa Magufuli amekomaa na yake. Labda sio desturi ya JWTZ....
Kawaida Askari hauruhusiwi kupiga saluti akiwa hajavaa kofia. Anapiga saluti tu anapokuwa amevaa kofia, mahali popote pale hata kama ni kwenye msiba. Kwa hiyo nadhani kwao kuvaa kofia ni sehemu ya heshima, as long as kofia ni ya kijeshi.
 
Back
Top Bottom