Hivi sisi Simba tuna rekodi ipi?

Hivi sisi Simba tuna rekodi ipi?

kilwakivinje

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
6,184
Reaction score
9,407
Tuna rekodi ipi ya kujivunia kama wenzetu. Wao mabingwa wa kihistoria kuliko sisi, wao ni 49 unbeaten kuliko sisi.

Tuache kukaa kama mapang'ang'a tupambane nadi tuweke karekodi japo kadogo kuliko kushupaza shingo kuhusu yanga

Tusisahau kuhusu ngada majibu hatujapata
 
Screenshot_20221130-064459_Instagram.jpg
 
Tuna rekodi ipi ya kujivunia kama wenzetu. Wao mabingwa wa kihistoria kuliko sisi, wao ni 49 unbeaten kuliko sisi.

Tuache kukaa kama mapang'ang'a tupambane nadi tuweke karekodi japo kadogo kuliko kushupaza shingo kuhusu yanga

Tusisahau kuhusu ngada majibu hatujapata
Simba anazo records nyingi ikiwa ni pamoja na comeback ya taifa nchini Zambia.
Wewe tu utopolo endelea kuumia kufia majarubani
 
Tuna rekodi ipi ya kujivunia kama wenzetu. Wao mabingwa wa kihistoria kuliko sisi, wao ni 49 unbeaten kuliko sisi.

Tuache kukaa kama mapang'ang'a tupambane nadi tuweke karekodi japo kadogo kuliko kushupaza shingo kuhusu yanga

Tusisahau kuhusu ngada majibu hatujapata
Na mnarekodi ya kwenda kutolewa bikra vichakani
 
Utake uctake jana bikra imetolewa
Tuna rekodi ipi ya kujivunia kama wenzetu. Wao mabingwa wa kihistoria kuliko sisi, wao ni 49 unbeaten kuliko sisi.

Tuache kukaa kama mapang'ang'a tupambane nadi tuweke karekodi japo kadogo kuliko kushupaza shingo kuhusu yanga

Tusisahau kuhusu ngada majibu hatujapata
 
Sisi Simba rekodi yetu ya kujivunia ni kukamatwa tukifanya vitendo vya kishirikina uwanjani Hadharani pale bondeni Kwa Madiba na kushushiwa Rungu na CAF.

Vile vile tunajivunia kupulizia madawa na vitendo vya kishirikina dhidi ya timu Pinzani zinazo Kuja kucheza Kwa Mkapa na CAF wametuweka katika uangalizi kulingana na tuhuma izo.
 
Rekodi yetu kubwa ni kuchukua ubingwa 2011/12 bila kufungwq na kumchapa utopolo bao 5 bila majibu
 
Yanga ya 1983 haikuwai kufungwa na ndio kikosi Bora zaidi toka 1983 mbaka Sasa maana wote walikua timu ya Taifa.
1. Joseph Fungo
2.Yusufu Bana
3.Ahmed Amasha
4. Isihaka Hasan
5.Athumani Juma Chama (Jogoo)
6. Juma Mkambi ( General)
7.Omar Husen (Kegan)
8.Charles Boniface Mkwasa
9. Abeid Mziba (Tekelo)
10. Makumbi Juma
11.Shaaban Katwila.
Sub
Moshi Majungu
Doto Ruta Mokil n.k
 
Tuna rekodi ipi ya kujivunia kama wenzetu. Wao mabingwa wa kihistoria kuliko sisi, wao ni 49 unbeaten kuliko sisi.

Tuache kukaa kama mapang'ang'a tupambane nadi tuweke karekodi japo kadogo kuliko kushupaza shingo kuhusu yanga

Tusisahau kuhusu ngada majibu hatujapata
kama kuna timu Tanzania iliyowahi kufika robo fainali Caf nambie... nimekaa pale!
 
Sisi Simba rekodi yetu ya kujivunia ni kukamatwa tukifanya vitendo vya kishirikina uwanjani Hadharani pale bondeni Kwa Madiba na kushushiwa Rungu na CAF.

Vile vile tunajivunia kupulizia madawa na vitendo vya kishirikina dhidi ya timu Pinzani zinazo Kuja kucheza Kwa Mkapa na CAF wametuweka katika uangalizi kulingana na tuhuma izo.
Bora uache hiyo mada kila siku ni hyo nyie kwa sasa ndo vigagula nimeamini hyo jezi yenu ilizindikwa aisee... mmekua washirikina mno..
 
Back
Top Bottom