chichiboy1
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 1,371
- 1,856
SSC ina rekodi ya kufika fainal ya kombe la CAF 1993
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waaoh hii huwa wanasahau naona... yani anibitenii yao imekua gumzo..unibitenii anibitenii2009/2010 Simba ilimaliza unbeaten
Na utopolo alikufa mech zote mbili
Mechi ya Kwanza 1-0 Musa Hassan mgosi pasi murua kutoka kwa Dan mrwanda
Mechi ya mzunguko wa pili alikufa 4-3
Mgosi aliweka 2 uhuru seleman 1 na hillali echesa fundi 1 wakati ubao ukiwa 3_3
Echesa alifunga goli dakk za nyongeza mkwaju kutoka nje ya boks
pasi kutoka wingi ya kushoto kwa mwamba asihesahaulika unyamani Emanuel anodi okwi kipa mzungu wa yanga kipindi icho obren cirkovic akuamini macho yake.
Na ubao kusoma 4_3
Utofauti wa izi unbeaten
Unbeaten ya Simba 2009/10 utopolo alifungwa mech zote mbili na kuchangia point 6 kwenye hii unbeaten.
Na unbeaten ya yanga bwana utopolo ajamfunga Simba zaidi ya droo Tu ivyo kugawana point.
Mbumbumbu mumeo tuTatizo sisi mashabiki wa simba ni mambumbumbu hatupendi kusikia ukweli
29 October 2011 mmesha msahau Davis1.Simba IMEKUWA unbeaten miaka 5 mfulilulizo.
2. Simba IMEKUWA unbeaten 2009 2010.
3. Simba IMEKUWA unbeaten 2011-2012.
Akina mafisango walipopiga zile 5.
4. Msimu wa 2018-19.
Ilipoteza mchezo WA mwisho na KAGERA ILITOPOLEWA TUMDU according to JPM.
yanga Wana unbeaten Moja tu.
SIMBA BABA LAO.
2009/10 Simba 1-0 yanga (mgosi) mechi ya pili Simba 4_ 3 yanga1983 Yanga 3-1 Simba, mechi ya pili Simba 0 -2 Yanga. 2009 Simba 2 - 2 Yanga, Simba 4-3Yanga. 2009 AFC cup Yanga 2-1Simba
Acha uongo ni ivi 2008/20091983 Yanga 3-1 Simba, mechi ya pili Simba 0 -2 Yanga. 2009 Simba 2 - 2 Yanga, Simba 4-3Yanga. 2009 AFC cup Yanga 2-1Simba
Ah wewe sio mpenzi wa mipira basi kwa taarifa yako simba ndio team bora kwa africa mashariki kwa sasa ikiwa na records nzuri ya kushiriki hadi makundi ligi club bigwa africa mfululizo...Tuna rekodi ipi ya kujivunia kama wenzetu. Wao mabingwa wa kihistoria kuliko sisi, wao ni 49 unbeaten kuliko sisi.
Tuache kukaa kama mapang'ang'a tupambane nadi tuweke karekodi japo kadogo kuliko kushupaza shingo kuhusu yanga
Tusisahau kuhusu ngada majibu hatujapata
2011 Simba akua unbeaten alikua bingwa kawaida alpoteza mechi 2 ambazo ni yanga na African Lyon japo mechi ya mzunguko wa pili wote hao walikutana na Dhahama hii nakumbuka zaidi29 October 2011 mmesha msahau Davis
Mwape Kwa bao la kichwa Yanga1-0Simba [emoji3][emoji3][emoji3]