Hivi sisi Simba tuna rekodi ipi?

Hivi sisi Simba tuna rekodi ipi?

2009/2010 Simba ilimaliza unbeaten
Na utopolo alikufa mech zote mbili
Mechi ya Kwanza 1-0 Musa Hassan mgosi pasi murua kutoka kwa Dan mrwanda
Mechi ya mzunguko wa pili alikufa 4-3
Mgosi aliweka 2 uhuru seleman 1 na hillali echesa fundi 1 wakati ubao ukiwa 3_3
Echesa alifunga goli dakk za nyongeza mkwaju kutoka nje ya boks
pasi kutoka wingi ya kushoto kwa mwamba asihesahaulika unyamani Emanuel anodi okwi kipa mzungu wa yanga kipindi icho obren cirkovic akuamini macho yake.
Na ubao kusoma 4_3
Utofauti wa izi unbeaten

Unbeaten ya Simba 2009/10 utopolo alifungwa mech zote mbili na kuchangia point 6 kwenye hii unbeaten.

Na unbeaten ya yanga bwana utopolo ajamfunga Simba zaidi ya droo Tu ivyo kugawana point.
 
Waaoh hii huwa wanasahau naona... yani anibitenii yao imekua gumzo..unibitenii anibitenii
 
1983 Yanga 3-1 Simba, mechi ya pili Simba 0 -2 Yanga. 2009 Simba 2 - 2 Yanga, Simba 4-3Yanga. 2009 AFC cup Yanga 2-1Simba
 
1.Simba IMEKUWA unbeaten miaka 5 mfulilulizo.

2. Simba IMEKUWA unbeaten 2009 2010.

3. Simba IMEKUWA unbeaten 2011-2012.
Akina mafisango walipopiga zile 5.

4. Msimu wa 2018-19.
Ilipoteza mchezo WA mwisho na KAGERA ILITOPOLEWA TUMDU according to JPM.

yanga Wana unbeaten Moja tu.

SIMBA BABA LAO.
 
29 October 2011 mmesha msahau Davis
Mwape Kwa bao la kichwa Yanga1-0Simba [emoji3][emoji3][emoji3]
 
1983 Yanga 3-1 Simba, mechi ya pili Simba 0 -2 Yanga. 2009 Simba 2 - 2 Yanga, Simba 4-3Yanga. 2009 AFC cup Yanga 2-1Simba
2009/10 Simba 1-0 yanga (mgosi) mechi ya pili Simba 4_ 3 yanga
Simba mgosi 2 uhuru 1 Echesa1 yanga tegete 2_ chuji 1

1983 Yanga 3-1 Simba, mechi ya pili Simba 0 -2 Yanga. 2009 Simba 2 - 2 Yanga, Simba 4-3Yanga. 2009 AFC cup Yanga 2-1Simba
Acha uongo ni ivi 2008/2009
Mechi ya Kwanza
Yanga 1-0 Simba Ben mwalala na ya pili
Simba 2-2 yanga (wafungaji Simba ramadhani chombo na haruna Moshi)
Yanga Ben mwalala na tegete

2009/2010 Simba unbeaten
Mechi ya kwanza
Simba 1_0 yanga (musa mgosi)
Mechi ya pili
Yanga 3-4 Simba wafungaji yanga chuji1 na jerson tegete 2
Simba mgosi 2 uhuru selemani 1 Echesa1
NB Yanga alikufa mechi zote 2 katiko iyo unbeaten ya Simba mmyama.
 
Kuingia robo fainali mara tatu kombe la club bingwa Africa, kufika fainali kombe la shirikisho
 
Tuna rekodi ipi ya kujivunia kama wenzetu. Wao mabingwa wa kihistoria kuliko sisi, wao ni 49 unbeaten kuliko sisi.

Tuache kukaa kama mapang'ang'a tupambane nadi tuweke karekodi japo kadogo kuliko kushupaza shingo kuhusu yanga

Tusisahau kuhusu ngada majibu hatujapata
Ah wewe sio mpenzi wa mipira basi kwa taarifa yako simba ndio team bora kwa africa mashariki kwa sasa ikiwa na records nzuri ya kushiriki hadi makundi ligi club bigwa africa mfululizo...
 
29 October 2011 mmesha msahau Davis
Mwape Kwa bao la kichwa Yanga1-0Simba [emoji3][emoji3][emoji3]
2011 Simba akua unbeaten alikua bingwa kawaida alpoteza mechi 2 ambazo ni yanga na African Lyon japo mechi ya mzunguko wa pili wote hao walikutana na Dhahama hii nakumbuka zaidi
Simba 5-0 yanga
 
Back
Top Bottom