Hivi sisi Tanzania Tunashindwa wapi hii kitu?

Hivi sisi Tanzania Tunashindwa wapi hii kitu?

Myahudi Jr II

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2016
Posts
6,816
Reaction score
8,809
Wakati Tanzania Iphone ni kama Lulu, wanawake wanahongwa iphone haijalishi ni mdogo au mkubwa ila wanafuraha sana na kutamba wanatumia "latest Iphone"

Wenzetu unapewa simu unalipa $15 kwa mwezi ambazo ni TSHS 30,000 tu

Shida ni nini?

Screenshot_20221227_201601_Samsung Internet.jpg

Hizi hapa ni bei kabla ya punguzo unapewa simu kwa mkopo wa MIAKA 2,

Screenshot_20221227_222714_Samsung Internet.jpg
Screenshot_20221227_222703_Samsung Internet.jpg
Screenshot_20221227_222626_Samsung Internet.jpg

Tukifanya hivi tutaokoa kizazi chetu cha watoto wa kike kwa sehemu
 
Attachments

  • Screenshot_20221227_222455_Samsung Internet.jpg
    Screenshot_20221227_222455_Samsung Internet.jpg
    133.1 KB · Views: 13
Unanunua alafu unalipwa kila mwezi?! Wapi uko peponi au?!
 
Wakati Tanzania Iphone ni kama Lulu, wanawake wanahongwa iphone haijalishi ni mdogo au mkubwa ila wanafuraha sana na kutamba wanatumia "latest Iphone"

Wenzetu unapewa simu unalipa $15 kwa mwezi ambazo ni TSHS 30,000 tu

Shida ni nini?

View attachment 2460448

Hizi hapa ni bei kabla ya punguzo unapewa simu kwa mkopo wa MIAKA 2,

View attachment 2460449View attachment 2460450View attachment 2460451

Tukifanya hivi tutaokoa kizazi chetu cha watoto wa kike kwa sehemu
Unamkopesha mtu alafu anaenda kupanda bodaboda[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hata insurance itashindwa kucover!

Sio kwamba mitaji ni midogo!!? Kuna wanao kopesha simu ila naona ni kampuni za solar kama D[emoji2959]mwanga na [emoji258]mfalme
Shida ya mikopo yao simu ya laki 350000 unakianzio cha 80000 sijui 90 then 1700perdei kwa mwaka sijui mmoja au miwili ukija kumaliza unakuta umeinunua kwa zaidi ya laki 7
 
Back
Top Bottom