Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,816
- 8,809
Unanunua alafu unalipwa kila mwezi?! Wapi uko peponi au?!
Unalipa au unalipwa?!Kaka unakopeshwa simu unalipa ndani ya miaka 2.
Unalipa au unalipwa?!
Mboni pale juu umesema unalipwa 30,000?!Ndugu, unapewa simu ukatumie huku unalipa $15 kila mwezi ambayo ni sawa na 35,000
Itakua nimekosea kuandika nduguMboni pale juu umesema unalipwa 30,000?!
Kwa hio kumbe ni unalipa sio unalipwa?Itakua nimekosea kuandika ndugu
Unamkopesha mtu alafu anaenda kupanda bodaboda[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hata insurance itashindwa kucover!Wakati Tanzania Iphone ni kama Lulu, wanawake wanahongwa iphone haijalishi ni mdogo au mkubwa ila wanafuraha sana na kutamba wanatumia "latest Iphone"
Wenzetu unapewa simu unalipa $15 kwa mwezi ambazo ni TSHS 30,000 tu
Shida ni nini?
View attachment 2460448
Hizi hapa ni bei kabla ya punguzo unapewa simu kwa mkopo wa MIAKA 2,
View attachment 2460449View attachment 2460450View attachment 2460451
Tukifanya hivi tutaokoa kizazi chetu cha watoto wa kike kwa sehemu