Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
Kweli. Na vipengele vyake viwe MAJUNGU, FITNA na UJUAJI!Ninadhani tutungiwe mashindano yetu ya kuongea.
nimekaa nikawaza bado sijapata jibu nimeona niwashirikishe wenzangu mnisaidie jibu hivi sisi wa Tanzania mchezo gani tunouweza tukajivunia kama taifa Maana sasa hivi vijana wamebaki ushabiki wa Timu za ulaya
Tutakua tunapata tuzo sisi tu, maana kwenye kuongea tu tupo vizuri.Ninadhani tutungiwe mashindano yetu ya kuongea.