Hivi sisi wa Tanzania tunaweza mchezo gani?

nimekaa nikawaza bado sijapata jibu nimeona niwashirikishe wenzangu mnisaidie jibu hivi sisi wa Tanzania mchezo gani tunouweza tukajivunia kama taifa Maana sasa hivi vijana wamebaki ushabiki wa Timu za ulaya
Tz the dumbest.
 
Umbeya na ngono!
 
Back
Top Bottom