Hivi sisi waafrika ni binadamu kamili au bado tuko katika transition stage?

Hivi sisi waafrika ni binadamu kamili au bado tuko katika transition stage?

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
10,406
Reaction score
19,892
Hivi sisi ni binadamu kamili kweli au bado tuko katika transition stage?
Huko Uganda binadamu wanakulana wenyewe kwa wenyewe kama wanyama pori.
Sikiliza clip hiyo hapo nimeiambatanisha.
 

Attachments

Sio Uganda tu bali hata hapo Chato kuna mtu alizikwa na chupa za damu
 
Nyama ya binadamu ni nyama adimu sana..ni ghali mno..hasa ya waafrica ni tamu mno!
 
Back
Top Bottom