Hivi sisi wenye Samsung galaxy 6, na iPhones tunachanganya post zetu Humu na wenye tecno na itel?

Umetumia akili sana mkuu,ushajua lupyee anatumia itel,ha ha haaaaaaa
 
Lol kipindi hiki cha hapa kazi watu hawataki utani... Hahahahaha
 
Siyo haki kabisa kwa mfano mimi natumia tecno ya tochi ya elfu 30.
Inabidi ninyi wenye Samsung na iPhone mpewe kipaumbele kwenye kuanzisha mada na kuchangia.
Heshima yenu wote mnaotumia Samsung na iPhone.
 
Siyo haki kabisa kwa mfano mimi natumia tecno ya tochi ya elfu 30.
Inabidi ninyi wenye Samsung na iPhone mpewe kipaumbele kwenye kuanzisha mada na kuchangia.
Heshima yenu wote mnaotumia Samsung na iPhone.
Kabisa mkuu
 
Mtoa mada kachemka, wabongo kwa kupenda misifa, utakuta anamiliki simu ya gharama lakini anapanga, fikiri kabla ya kuongea mkuu
kwaio kuna simu ina gharama kushinda nyumba,wewe nae ndio unaona umefikiria,kwaio asinunue simu akajenge,kweli?
ndio maana hawaachi kututukana kuwa black is not a color..
 
MADA HII INAWEZA KUWA NA MAANA IFUATAYO.

KAMA MTU NA KITEKINO CHAKE ANAWEZA KUINGIA HUMU
KUPLAY GAME
DOWNLOAD SOME VIDEOS
PIGA PICHA
KUFANYA STREAMING
KUWASILIANA
PENGINE CHAJI IKAE SANA KULIKO GALAXY

kuna haja gani ya kuteketeza milion kwa simu?

nimejaribu kwend tofauti kidogo na walio wengi.
 
Cha muhimu ni akili ya aliyeishika hiyo simu na wala sio aina ya Simu mkuu
 
Mkuu acha dharau ka Vip kafungue Jf yenu ya Samsung iPhone zenu ,si mtuache na tecno na itel naongezea na Huawei ! Kwani vocha unayo nunua inazwa kwa usd ?mb ni hizo nane tu na iPhone yako na Samsung Galaxy 6
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
hicho ndio kiburi basi wewe ukaazikwe.................. Migodini usizikwe kwenye makaburi ya wenye tecno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…