Hivi sisi wenye Samsung galaxy 6, na iPhones tunachanganya post zetu Humu na wenye tecno na itel?

Hivi sisi wenye Samsung galaxy 6, na iPhones tunachanganya post zetu Humu na wenye tecno na itel?

Mapovu mengi Humu ni ya
Tecno za tecno y2
Tecno n8 za Tigo
Naa nini za Voda ndo maana wakali sana
 
Nauza galaxy 7 elfu 50 pamoja na fire extinguisher yake
1476383436522.jpg
 
Mkuu acha dharau ka Vip kafungue Jf yenu ya Samsung iPhone zenu ,si mtuache na tecno na itel naongezea na Huawei ! Kwani vocha unayo nunua inazwa kwa usd ?mb ni hizo nane tu na iPhone yako na Samsung Galaxy 6
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenchekesha
 
Ngoja nione mapovu ya tecno kwenye simu yangu yakimwagwa
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hata mimi nataka kujua watumiaji wa tecno na itel wapo wangapi kupitia hii thread
 
Hapana hazichanganyiki... hapa post zote ni za kutoka simu za Tecno na Itel... Samsung na Iphone hazikubali humu...
 
Back
Top Bottom