Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jambazi wew leo utawatolesha watu povu mpaka basi hahahahahahahaSijawahi kufikiri kama ipo siku nitanunua tecno,itel au huawei hizo zote huwa zinamilikiwa na mahouse girl!! Na watu wasio kuwa na uhakika wa kuamka kesho ndiyo wanao zimiliki!!
Hivi baba mzazi hana watani ukute iyo sms ilianzishwa na mtu mwenye umri sawa na huyo baba mzazi sasa kama hajui utani ni.bora ahame jukwaa tuuUtani wa namna hii mkuu kwa hapa JF ni lazima wakuwakie coz humu ndani kuna watu wazima ambao ni sawa na baba yako mzaa baba...
uwe unachuja sana hasa hbr ya vichekesho kwenye hili platform toka nilijue hilo nimekuwa makini na kile ninachotaka kupost.
Ishu za utani ktoka makundi ya whatsapp na FB usizilete humu.
Mbere kiukweli sio haki tuwaombe mods watutafutie eneo letu la kucomment aisee hahahhahaNi haki kweli hii wakuu?
Lazima wewe ni miongoni mwa ile takwimu ya vichaa. Mlihesabiwa lini?Ni haki kweli hii wakuu?
Kidaganda kumbe ushaolewa??? Mimi nilidhani huko single nikupmhusband mie sitaki hiyo mi Samsung...misimu ya ovyo inalipuka...mie ninunulie tu tecno simu nzuri sana...
emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wadada Mungu anawaona
we mie dume angalia vzr profileKidaganda kumbe ushaolewa??? Mimi nilidhani huko single nikupm
Duuuh.... Mimi nikajua wewe kipozeo kumbe jembe!!!!.. Basi sorry man ila tafuta I phone siku nyingine usireply na ki-tecno maziwa [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]we mie dume angalia vzr profile
Hv Huawei ascend mate 7 sasa hv bei gani ..!!??Sijawahi kufikiri kama ipo siku nitanunua tecno,itel au huawei hizo zote huwa zinamilikiwa na mahouse girl!! Na watu wasio kuwa na uhakika wa kuamka kesho ndiyo wanao zimiliki!!