Hivi sisi wenye Samsung galaxy 6, na iPhones tunachanganya post zetu Humu na wenye tecno na itel?

Hivi sisi wenye Samsung galaxy 6, na iPhones tunachanganya post zetu Humu na wenye tecno na itel?

haa ha haahaa haa itel nayo simu mkuu acha dharau me natumia blackberry teh tehe ya promo niya kishamba noma
 
ukiona mtu anajivunia ka iphone kupita kiasi ujue alikapata kwa mbinde au hata kiboga kilimhusu kabisaa!!! continue to brag on this, then you reveal the way you got it!!!
Mh kazi ipo
 
Kweliii mkuu tutengewe sehemu yetu... Haiwezekani kabisa tuchangie sehemu moja na wenye vi-Tecno na vi-itel vya kichina.. Tujitengeni na I phones zetu
100% umeona mapovu Lakini?
 
Ha ha haa... watu mnatoka povu wakati jamaa alikuwa anatania. Mtoa mada eeh bwana zinachanganyikana na ni haki pia. Sasa utakuta mtu ana smartphone ya kawaida ila ame assign signature "Sent from My Samsung S7" kumbe techno y3+....
Aha haha la la la la sijui hizi Hasira zinatoka kwa mada hii tu au kuna catalyst
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] humu wahaya wameongezeka,yan unataka JF iweke nafasi za post VIP kwa watu wanaotumia Simu za Samsung na iPhone[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ndio mkuu
 
1476085239701.jpg
Kweli inabidi mjiondoe JF maana simu zenu hizo hazitachelewa KUTULIPUKIA,natesa na Tecno Phantom kwa raha zang NO STRESS endeleen kutesa na MABOMU yenu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji3]
 
kwaio kuna simu ina gharama kushinda nyumba,wewe nae ndio unaona umefikiria,kwaio asinunue simu akajenge,kweli?
ndio maana hawaachi kututukana kuwa black is not a color..

Wapo wengi wanamiliki nyumba zilizowacost less than 2.4mil...ya iphone 7+
 
View attachment 415413Kweli inabidi mjiondoe JF maana simu zenu hizo hazitachelewa KUTULIPUKIA,natesa na Tecno Phantom kwa raha zang NO STRESS endeleen kutesa na MABOMU yenu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji3]
Nenda kwa mafundi simu kariakoo ujionee itel kwa mafundi
Mbona BBC hawazitangazi?
 
Back
Top Bottom