Hivi sisi wenye Samsung galaxy 6, na iPhones tunachanganya post zetu Humu na wenye tecno na itel?

Hivi sisi wenye Samsung galaxy 6, na iPhones tunachanganya post zetu Humu na wenye tecno na itel?

hahah duh! maisha hata yatatutia uchizi wabongo, ila me tecno sihami labda kampuni ife.. wananikosha kwenye chaji tu
 
Sawa mkuu, ndo maana kuna watu hununua gari la hadhi ya juu, na mwingine ananunua ilimradi usafiri [emoji1]

Sent from Nokia Tochi using Jamiiforums mobile app
Ipo siku wenye m v8 watauliza ina maana na sisi wenye V8 tunatumia same roads na wenye vi passo na vits na ist. This is not fair[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Mkuu acha dharau ka Vip kafungue Jf yenu ya Samsung iPhone zenu ,si mtuache na tecno na itel naongezea na Huawei ! Kwani vocha unayo nunua inazwa kwa usd ?mb ni hizo nane tu na iPhone yako na Samsung Galaxy 6
Hebu toa hiyo Huawei hapo tusitafutane ubaya.
 
Utani wa namna hii mkuu kwa hapa JF ni lazima wakuwakie coz humu ndani kuna watu wazima ambao ni sawa na baba yako mzaa baba...

uwe unachuja sana hasa hbr ya vichekesho kwenye hili platform toka nilijue hilo nimekuwa makini na kile ninachotaka kupost.

Ishu za utani ktoka makundi ya whatsapp na FB usizilete humu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] humu wahaya wameongezeka,yan unataka JF iweke nafasi za post VIP kwa watu wanaotumia Simu za Samsung na iPhone[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Simu za kiganjani ni vitu vya ajabu sana,yaani mtu inafikia mahali anaona kumiliki simu kama Iphone hana tofauti na mtu anayemiliki Lamborghini,hongera yenu bana.
 
mizozo mingine ya kupoteza mda, japo na mimi genuine i have my own iphone anayeleta mada sidhani kama alifikiria na kama alifikiria halmashauri ya ubongo wake haipo sawa ana ushamba wa simu hv apps gani utakayodownload kwenye samsung device ikagoma kwenye tecno au messanger ya kwenye samsung ina tofauti gani na ya kwenye tecno huo tunaita ni ulimbukeni wa smartphonee Raykidd de follow me
Kwahiyo una tecno na umechanganya Uzi wako Humu?
 
Back
Top Bottom