Hivi sisi wenye Samsung galaxy 6, na iPhones tunachanganya post zetu Humu na wenye tecno na itel?

Ninatumia X2 Nokia kuchati humu Jf. .. ...wengi wamepanick"" sio kujibu hoja,,

Simu ulizozitaja zipo vizuri na gharama zake zipo juu, lakini tu na - share tuu ' haijalishi simu yako ina- cost sh/$/¥/€/₩......ngapi
 
Sijawahi kufikiri kama ipo siku nitanunua tecno,itel au huawei hizo zote huwa zinamilikiwa na mahouse girl!! Na watu wasio kuwa na uhakika wa kuamka kesho ndiyo wanao zimiliki!!
 
Sijawahi kufikiri kama ipo siku nitanunua tecno,itel au huawei hizo zote huwa zinamilikiwa na mahouse girl!! Na watu wasio kuwa na uhakika wa kuamka kesho ndiyo wanao zimiliki!!
Duuh we una uhakika wa kuamka kesho???
 
Kuonesha ushamba wako hujui hata aina za simu umeshindwa kuandika iphone gan? Na samsung umeandika S 6 ukidhan ndo bora wakati kuna S7 edge
 
mbere

Hivi bado kuna viumbe ambao wamenyimwa aibu kiasi cha kuwa bado wanatamba kwa kuwa na simu za Samsung?

Simu zangu za zamani za Samsung hata kutumia kama bluetooth players nipigie mp3 situmii.

Hata kumfungia mbwa wangu shingoni kama tracker siwezi, zisije kumlipukia bure.
 
Hua sipendi kuona 'NEWS ALERT' kwenye uzi wa kijinga kama huu. Jifunzeni maana ya hayo maneno aisee.
 
Utakula iPhone 6... wekaza kwenye ardhi please... acha utoto wa kukopi na kupesti
 
Watu wanatumia computer ila wako kimya ww na sumssang yako unapata wp jeuri hiyo
 
Tecno izo sio samsung
 
Note 7 sijui walizingua nini, usitutishie wengine tuje kwenye iphone maana zile bwana zipo kiUSA USA Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…