Ha ha haaa Asha D, kumbe tupo wengi! why show myface there?
Ukimchunguza utajua tu....Lizzy ni ngumu sana kujua wanawake wanavaa kwa ajili gani,ni kama siri ya mtu,kuna wanaume wanapenda wanawake wenye hips kubwa,au mapaja hasa kuona nyuma ya goti,wengine boobs,na mengine,so wanawake wao unakuta wanavaa kivyao tu but wengine wanavaa kwa nia ya kutega,so hata yule ambaye hajavaa kwa nia ya kutega unakuta anatongozwa na baadaye naingia same line
hawawezi.Masister du wengi jinsi wanavyovaa ni kimtego,je wakiolewa wanaweza wakavaa nguo za heshima?
hata ukivaa gunia lol?
Unajifagilia tu...i doubt it....lol