Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Mfano, nikiamua kuanzisha misemo yangu tofauti na Kabila langu la sasa na nikaanza kuwafunza watoto wangu tokea utoto wao na nikajitenga kabisa na jamii yangu kwa mda wa miaka japo mitano je siwezi kufanikisha nia na madhumuni yangu?