Hivi siwezi kabisa kuanzisha Kabila langu?

Hivi siwezi kabisa kuanzisha Kabila langu?

Anzisha lugha,

Lugha iwe na umuhimu wataichukua watu.

Ili iwe na umuhimu inabidi uwe na bidhaa/huduma zenye umuhimu ambao watu lazima watajifunza hiyo lugha ili waitumie. Ni kama tu kompyuta, mtu wa IT akichabangaga sana ma IT yake kwenye muvi utasikia anaamimbiwa "Would you repeat that, in English this time"
 
Mfano kabila lako uliite...

Ushondooko.....au umboo
 
Mfano, nikiamua kuanzisha misemo yangu tofauti na Kabila langu la sasa na nikaanza kuwafunza watoto wangu tokea utoto wao na nikajitenga kabisa na jamii yangu kwa mda wa miaka japo mitano je siwezi kufanikisha nia na madhumuni yangu?
Lazima, uwe na yafuatayo. Eneo/ardhi, lugha, idadi ya watu wa kutosha, mila na desturi, majina ya asili na tofauti na makabila mengine. Kwa vigezo hivi, ni ngumu sawa na kutembea kwa miguu juu ya bahari.
 
Ninalo eneo la zaidi ya hekta 5000 za urithi tena polini kijijini ndani ndani huko.
 
Kuna tofauti kati ya lugha na kabila

Rwanda kunamakabila makubwamawili,watutsi na wahutu ila wote wanaongea lugha moja,kinyarwanda.

Kabila imejumuisha,mila,desturi na lugha

Lugha ni sauti za nasibu zenye kubeba maana ili kuwasiliana

Hapo utazalisha creole au pilgin

Anzisha ukoo kwanza kama ninavyofanya kwanza,jitenge na jamiibaada ya miaka 300,lugha tayari
 
Back
Top Bottom