Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
huweziMfano, nikiamua kuanzisha misemo yangu tofauti na Kabila langu la sasa na nikaanza kuwafunza watoto wangu tokea utoto wao na nikajitenga kabisa na jamii yangu kwa mda wa miaka japo mitano je siwezi kufanikisha nia na madhumuni yangu?
Kwa nini nisiweze?huwezi
Inawezekana kabisa na utakuwa na uzao kuzidi nyota za angani ama mchanga wa baharini.Mfano, nikiamua kuanzisha misemo yangu tofauti na Kabila langu la sasa na nikaanza kuwafunza watoto wangu tokea utoto wao na nikajitenga kabisa na jamii yangu kwa mda wa miaka japo mitano je siwezi kufanikisha nia na madhumuni yangu?
Na ndiyo nataka nijitenge nilipo na kusudi nianzishe umoja mpya wa kila jambo na familia yangu.Okay, turudi form 1.
Kabila ni nini?
Kabila ni kikundi cha watu wenye umoja fulani wanaoshare lugha, tamaduni, sheria zao nk.