Bodhichitta
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 315
- 762
Aslaam,
Wakuu hivi hakuna app, au siwezi kupata application ambayo itanifanya kufuatilia biashara yangu ya MIAMALA?
Nawaza kufanya biashara ya uwakala wa pesa kupitia laini za simu na bank, lakini nataka nimtumie kijana wakati mi mwenyewe nikiwa kwenye shughuli zingine za kujiongezea kipato.
Hii biashara changamoto zake ni utapeli na kukosea miamala, Kwa maana ukiongeza au kupunguza zero tu imekula kwako.
Sasa nilikuwa nafikiria kama kutakuwa na application yoyoye itakayoniwezesha mim kupata ujumbe(notifications) mara tu baada ya Muamala kufanyika.
Yaani natamani nipate application itakayounganisha laini za simu zote pamoja na mashine hizi za bank za uwakala ili mtu akitoa au kuweka pesa Mimi niwe napata ujumbe hapohapo wa kuwa kiasi flani kimewekwa au kutumwa Kwa flani.
Ili kama nitakuwa na mashaka na Muamala hapohapo niwe nawasiliana na kijana ili kuhakikisha ili kama ni utapeli au imekosewa nichukue hatua za haraka.
Lakini pia Kwa mwezi iwe inanipa takwimu za miamala iliyowekwa na kutoa pesa kwenye Kila laini na mashine za benki, ikiwezekana na kiasi Cha kamisheni nilichopata.
Kama ipo naomba kufahamishwa na kama haipo je naweza kutafuta wataalum wakanitengenezea??
Asante,