Hivi siwezi kupata application kwa ajili ya kufuatilia biashara yangu ya miamala?

Mbona kiingereza kingi alafu platform yenyewe hatuioni na namna yakuipata
Karibu Mkuu tukupatie mfumo. Hayo ni maelezo ya jinsi unavyofanya kazi. Unaweza kupanga tukakutana au nikakupa Demo kupitia Zoom au Google Meet. Utatumia mfumo mwezi mzima bila kulipia, ukiridhika, unalipa.
 

Kuweza kufuatilia kila mwamala, unahitaji APIs za kampuni husika - banks au mitandao ya simu kwa ajili ya integration. Otherwise msimamizi arecord kila mwamala, hii ni kazi ngumu na error prone, mfano kusahau, nk. Ni ngumu kwa mfanyakazi kurecord kila transaction manually. Kwa maana nyingine, mfumo wa namna hii badala ya kumrahisishia kazi, unamwongezea kazi.

Sisi tuna mfumo ambao unamwezesha wakala kufuatilia taarifa zake za hesabu za kila siku, kuweka kumbukumbu za fedha tangu biashara ianze, kupata monthly trends mfano za commissions, nk. Popote pale alipo na muda wowote. Anahitaji tu kifaa chochote chenye internet na browser. Mfumo umetengenezwa kwa kuzingatia maoni na mahitaji ya mawakala. Mfumo unawafaa mawakala wa aina zote - wa kawaida na super agents.

Mfumo wetu unakuwekea taarifa zako zote za biashara ya uwakala za banks na mitandao ya simu sehemu moja - floats, madeni, matumizi, mikopo, mwenendo wa kulipa mikopo, biashara yako inavyoshuka na kupanda, insights mbalimbali na trends kuhusu biashara yako, projections, nk.

Umetengenezwa na watu wanaoijua na kuifanya biashara ya uwakala.

Maelezo haya hapa:

Wakala Agency Banking System:


View: https://youtu.be/0ug73zhGnuI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…