Nadhani wasouth inabidi wabadilike, wao wanawekeza zaidi kwenye beat na vionjo, mashairi kwao sio kipaumbele. Hii inafanya waonekane zaidi kama beat makers kuliko wanamuziki, Asake katengeneza hits kubwa kupitia beat zao. Wao na muziki wao sidhani kama wamewahi toa hit kubwa kama 'You want to bamba'. Hata watanzania tunaweza kupita na beat zao vizuri kuliko wao wenyewe[emoji16], Refer; MariooAmapiano zenyewe kutoka SA zina maneno machache,ila mdundo ndio unatawala kuliko mashairi na mashairi yake yako simple ,mafupi then vionjo na zile style za kucheza zinatawala.
Ila siku hizi kuna wimbi la wasanii wa Nigeria wanatumia bits Amapiano na wamefanikiwa kutoa hits zinazofanya vizuri kuliko wasouth wenyewe hata style za kucheza Naija washaanza kukopi kutoka SA.
Monalisa.
Sungba.
Who is your guy.
Ijo.
Hizo ni hits za Nigeria zilizo tumia Amapiano na bado kuna nyimbo nyingi zinachiwa zina tumia beat za Amapiano.Mimi mwenyewe sijajua kwa nini kwani midundo ya Amapiano asili yake SA ila Wanaija wanajua kutembea nazo na kuwaletea mafanikio.
Walikuwa wanajitafuta sasa wamejipataMi naona muziki wao unaendeshwa na beat zaidi ndio maana unafanywa sana na madj na producers, na sijui kwanini ni nadra kuona wimbo unafanywa na mtu mmoja, ni lazima wajikusanye kuanzia watatu na kuendelea. Wasanii wakubwa wenye nguvu ni wachache sana, sio kama Nigeria ambapo majina ya wasanii ni makubwa yakiendana na ukubwa wa muziki wao. Muziki wao 'Amapiano' umekamata sana Africa kwasasa, cha ajabu majina ya wasanii wao sio makubwa kihivo
Inaonesha Dj Maphorisa ana mchango mkubwa sana kwenye muziki wao, japo Kabza DE Small anatajwa kama muanzilishi wa Amapiano, naye ni dj na sio mwanamuziki. BTW unadhani ni kwanini Amapiano yao haiimbwi na artist mmoja, ni lazima wawe walau watu watatu na pengine walioshirikishwa unaweza usione mchango wao wa maana kwenye wimbo?!Walikuwa wanajitafuta sasa wamejipata
Imeanza kwenye kwaito na ni mlakati wao ndio wameweka hivyo....
DJ tira au Mapholisa walianza kitambo ila cheki kwaito ilivyowabana wakaenda nayo huku wanajitafuta na sasa Amapiano ndio new school yao
Hapa mafik zolo hawawezi ingia sababu wamejisahau kwenye hili tobo.
Bit zao lazima iwe hivyo ili mziki wa amapiano ukamilike mbali na hapo asee utaskiliza mwenyewe geto.....Inaonesha Dj Maphorisa ana mchango mkubwa sana kwenye muziki wao, japo Kabza DE Small anatajwa kama muanzilishi wa Amapiano, naye ni dj na sio mwanamuziki. BTW unadhani ni kwanini Amapiano yao haiimbwi na artist mmoja, ni lazima wawe walau watu watatu na pengine walioshirikishwa unaweza usione mchango wao wa maana kwenye wimbo?!
Eeh[emoji848][emoji19]Wale vijana wacheza Amapiano wengi ni mapunga. That's South Africa for you.
umesahau Taarabu, Singeri na MduaraWale vijana wacheza Amapiano wengi ni mapunga. That's South Africa for you.
Mi naona muziki wao unaendeshwa na beat zaidi ndio maana unafanywa sana na madj na producers, na sijui kwanini ni nadra kuona wimbo unafanywa na mtu mmoja, ni lazima wajikusanye kuanzia watatu na kuendelea.
Wasanii wakubwa wenye nguvu ni wachache sana, sio kama Nigeria ambapo majina ya wasanii ni makubwa yakiendana na ukubwa wa muziki wao.
Muziki wao 'Amapiano' umekamata sana Africa kwasasa, cha ajabu majina ya wasanii wao sio makubwa kihivo