Hayati Rais Dkt. Magufuli amekufa na Nidhamu iliyokuwepo ya nchi hii na hivi sasa tumerudi kule kule kama kwa 1985 - 1995 na 2005 - 2015 ambako kila Mtanzania anaamua akitakacho, muda wowote na hakuna wa Kumhoji au Kumzuia.Nashindwa kuelewa,yaan eneo la nyuma ya stendi kuna soko la vyakula,ila cha ajabu sehemu zinapopark daladala zimezungukwa kwa kupangwa nyanya viaz,machungwa n.k
Yaan njia ya kupita shida,pindi unapanda daladala,hata madereva wanalalamikia hili.
Pia hupelekea watu kupigana kwa kunyaga bidhaa hizi. Yaani unakuta gari unalotaka kupanda limezungukwa na bidhaa za sokoni pande zote,hivyo uruke bidhaa ndio uingie ndani ya gari
Hayati Rais Dkt. Magufuli amekufa na Nidhamu iliyokuwepo ya nchi hii na hivi sasa tumerudi kule kule kama kwa 1985 - 1995 na 2005 - 2015 ambako kila Mtanzania anaamua akitakacho, muda wowote na hakuna wa Kumhoji au Kumzuia.
R.I.P sana Dkt. John Pombe Magufuli.
Bora iwe ivyo..maana hta maana ya stendi ilikuwa hamna ile mchanganyiko wa bidhaa tena vyakula na magari hatar sana..Mwezi huu mwisho,wafanyabiashara wote wanahamishiwa Soko jipya Bahi Road
Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app