Konksenior
Member
- Jan 21, 2019
- 36
- 21
Habari wakuu, hivi wanawake mnavutiwa na aina gani ya mavazi kwa wanaume ,tiririkeni wakuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari wakuu, hivi wanawake mnavutiwa na aina gani ya mavazi kwa wanaume ,tiririkeni wakuu
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Wavae hata magunia fresh tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Nakazia, naongezea wale wanaovaa sijui macheni makubwa wameyaning'ing'iniza au mipete ya ajabu. Mwanaume vaa saa tu inatosha kama ni pete basi iwe ya ndoa, kifupi sipendi mtu anaevaa pete kama uremboMavazi mazuri ya heshima...iwe jeans surual ya kitambaa poa tu ili mradi iwe ya heshima,vaa uwe smart sio unavaa Kama kibaka
Sipendi mwanaume anaevaa suruali za kutoboka mapajani na magotini...nikiomuona mtu wa hivyo moja kwa moja namdefine vibaya
Kuna wale wanavaa kaptula.,pensi sijui
Yaani unakuta mtu amevaa iko kikaptula kipoo juuu juu huku magoti na mapaja yapo wazi...Mwanaume wa hivyo hapana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii picha, nitahakikisha naifuta kwenye memory yakoWangu namvutia hivi...[emoji5] [emoji5] View attachment 1014937
Kwanini babe...!!??[emoji30][emoji30]
Hii je...!!??[emoji30][emoji30]
Duuh hivi utakua lini babeHii je...!!??[emoji30][emoji30]View attachment 1014965
Babe, nimekoma....[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Babe, nimekoma....[emoji85] [emoji85] [emoji85]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] View attachment 1014966